QUALIFIED BIOLOGY TEACHER
Member
- Oct 27, 2024
- 33
- 277
Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki wakubadilishana nao mawazo, kanisani hivi sasa siendi, najihisi tofauti moyoni wangu, naona Hali nisiyo ielewa. Pia maumivu ya kichwa yananisumbua sana.
Watoto wadogo mtaani wakinisalimia nawatazama tu sijibu kitu. Pia napokutana na watu nataman kusalimiana nao Lakini Kuna kitu kina nambia Kaa kimya Haina haja.