Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki wakubadilishana nao mawazo, kanisani hivi sasa siendi, najihisi tofauti moyoni wangu, naona Hali nisiyo ielewa. Pia maumivu ya kichwa yananisumbua sana.
Watoto wadogo mtaani wakinisalimia nawatazama tu sijibu kitu. Pia napokutana na watu nataman kusalimiana nao Lakini Kuna kitu kina nambia Kaa kimya Haina haja.
kwanza pole sana .
Ila ngoja nikupe ushauri ambao utakusaidia katika situation (hali) unayopitia.
Kuna mambo mawili unabidi kuwa unayafanya kila unapohisi hisia za huzuni.
-Gratitude
-Detachment
Unapojihisi kuchoka na kukata tamaa jaribu kufanya Sana Gratitude -hii ndo tiba au (therapy) kubwa Sana .
Detachment - jifunze kuachilia mambo mfano umesoma Ila hauna Kazi jaribu kuwa na mentality ya kufanikiwa Ila usiitegemee Sana Vyeti.
Fanya detachment kuwa nimesoma ualimu Ila my world is limitless , usiamini kuwa kwakuwa umesoma ualimu basi ili utoboe inakubidi kuajiriwa serikalini hiyo futa kichwani
Unaweza kutoboa Kwa njia yoyote na sio lazima uwe employed by the government.
Detachment itakupa fursa ya kuachana na kutegemea Elimu uliyoipata darasani na kurusu akili yako kuwa focused na mambo tofauti.
Income versus salary .
Maisha yako yataamuliwa na kipato na sio mshahara hivyo usiache fursa yoyote unayopatikana na inayopita mbele yako .
Hayo mambo juu hapo yalikuwa Kisaikolojia zaidi.
KIROHO.
Jiwekee utamaduni wa kufanya meditation /sala za usiku at least Mara 3 Kwa week.
Kuwa na madhabau yako maalumu ambayo ni safi uwe unakaa unawasiliana na nguvu yako ya juu .
Haya maisha usipokuwa na maarifa ya KIROHO unaweza kuwa una hustle in vain .
jamii zetu na sehemu tunayokaa kuna negative energy kubwa hivyo unabidi kujua njia mbali mbali za kuondoa negative energy in your life.
Kulalamika -kulaumu - Blaming jizuie na kulalamika , kulalamika huwa ni inferiority complex inayotakana na Ego and ego is self -identity ambayo ukutambulisha Kwa watu kuwa wewe ni negative person.
Kuhusu unachopitia Kwa sasa kinaitwa ( Negative wave) Hii usipokuwa makini itakutesa Sana na ndo inaeasumbua watu wengi Sana
Wimbi la hisia hasi - wengine huwa wanaliita mikosi n.k , (negative wave)
Negative wave husababishwa na kushindwa kufanya Gratitude ukifanya Gratitude utasahau habari za mikosi kukuandama .
You will face challenges Ila hazitokuwa zinakuja Kwa mfumo wa Mara kwa Mara .