Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

Sijawahi piga mtu,vikelele tu ndo ninavyo...hivyo la mdomo nakubali....

Unachopaswa kustop mwaka unavyoanza,naomba badilika kabla hujapoteza vitu muhimu usije regret mbele, remember ningejua ni jibu la kuchelewa
Nitajitahidi kubadilika... Kwangu hasara ni roho pekee...
 
Back
Top Bottom