QUALIFIED BIOLOGY TEACHER
Member
- Oct 27, 2024
- 33
- 277
Kwa hiyo tiba apunguze nyege? Kweli we kijana unasumbuliwa na UBUKI (ukosefu wa busara kichwani).Mara ya mwisho kula mzigo ni lini??
Isije ikawwa ni nyege tu zimekujaa ndio zinaleta shida
Hii kitaalamu zaidi,safi.Kwa hiyo tiba apunguze nyege? Kweli we kijana unasumbuliwa na UBUKI (ukosefu wa busara kichwani).
Mtoa mada muone daktari wa psychiatry mana kama umeng'amua dalili hizi mwemyew ni nzur kwako. Muhimu utapata dawa za kuongeza uzalishwaji wa kemikali za furaha na usingizi. Mood disorder ni serious sana hasa kwa suicide na homicide na hata matumizi yaliyokithiri kwa vileo.
Hapo utapata Azuma, amitriptiline ili upate muda mzuri wa kulala na kupunzisha akili kwa mawazo. Utapewa Folic acid na haloperidol.. hii inaweza kuwa psychosis mana ninahakika ina zaidi ya miaka miwili sasa
Asante mkuu hata mimi nimepata kitu hapa sikuwa najua kama Kuna matibabu💪💪💪🙏🙏🙏Kwa hiyo tiba apunguze nyege? Kweli we kijana unasumbuliwa na UBUKI (ukosefu wa busara kichwani).
Mtoa mada muone daktari wa psychiatry mana kama umeng'amua dalili hizi mwemyew ni nzur kwako. Muhimu utapata dawa za kuongeza uzalishwaji wa kemikali za furaha na usingizi. Mood disorder ni serious sana hasa kwa suicide na homicide na hata matumizi yaliyokithiri kwa vileo.
Hapo utapata Azuma, amitriptiline ili upate muda mzuri wa kulala na kupunzisha akili kwa mawazo. Utapewa Folic acid na haloperidol.. hii inaweza kuwa psychosis mana ninahakika ina zaidi ya miaka miwili sasa
Unaishi wapi nije nijipitishe unibake hadi majogoo...Mm napitia iyo hali lakini mm huwa kila nikiona demu natamani nimbake yaan sijui nimepatwa na nn kila demu atayepita mbele yangu huwa nataman nimbake sasa nataka niende kwa wana saikolojia wanipe mawazo ikishindikana nikakae porini kabisa hii hali inanitesa sn
Tafuta mwanamke walau mfanye kwa wiki mfululizo ukitoka hapo njoo uniambie kama bado nikubadilishie tibaSalamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki wakubadilishana nao mawazo, kanisani hivi sasa siendi, najihisi tofauti moyoni wangu, naona Hali nisiyo ielewa. Pia maumivu ya kichwa yananisumbua sana.
Watoto wadogo mtaani wakinisalimia nawatazama tu sijibu kitu. Pia napokutana na watu nataman kusalimiana nao Lakini Kuna kitu kina nambia Kaa kimya Haina haja.