Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

Sijawahi piga mtu,vikelele tu ndo ninavyo...hivyo la mdomo nakubali....

Unachopaswa kustop mwaka unavyoanza,naomba badilika kabla hujapoteza vitu muhimu usije regret mbele, remember ningejua ni jibu la kuchelewa
Nitajitahidi kubadilika... Kwangu hasara ni roho pekee...
 
Maisha yametufanya tumekuwa na hali hii tulio wengi.Hali niliyonayo Mimi ni zaidi ya haha yako.Nawaza mabaya na kuumiza/kuua tu
Bora ujiue wewe ila sio kuua wengine wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…