Nadhani wakuu wa mikoa na wilaya wa awamu ya tano walikuwa na kazi zaidi ya kazi zao

Nadhani wakuu wa mikoa na wilaya wa awamu ya tano walikuwa na kazi zaidi ya kazi zao

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu?

Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
 
Mpaka TRA, POLISI, TISS, TANAPA NA PCCB walikuwa nje na kazi zao
 
Mpaka TRA, POLISI, TISS, TANAPA NA PCCB walikuwa nje na kazi zao
Mkuu wa wilaya wa awamu ya tano alikuwa na mamlaka makubwa sana alimradi jambo husika liwe la kumfurahisha bwana mkubwa.
 
KUlikuwa kuna yale majambazi kama Sabaya, Makonda, Gambo etc yalikuwa yakijiona kama mungu mtu na yameonea sana watu na kuna tuhuma hata kuua yameua, idara za serikali kama TISS na police ilikuwa kama dark days
 
lete ushahidi kamili sabaya mpaka leo kesi 100 zote fake kazipangua
 
Back
Top Bottom