Nadharia ya Usalama wa Taifa (TISS) ibadilike kuanzia sasa, Taifa lipo hatarini

Status
Not open for further replies.
nahitaji kufahamu jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(TISS)
 

Huyo jamaa siku hizi hana anachomaanisha,,utasumbuka tu!!
 
nahitaji kufahamu jinsi ya kujiunga na taasisi ya usalama wa taifa(TISS)

Siku hizi imekuwa kazi kama kazi zingine, kama una ndugu au fogo yeyote huko utaingia, ni kuingizana tu kwa lengo la kupeana ajira. Zamani ndo kulikuwa na hiyo 'Jinsi ya kujiunga" ilikuwa ajira ya wito hasa, full of vetting
 
Siku hizi imekuwa kazi kama kazi zingine, kama una ndugu au fogo yeyote huko utaingia, ni kuingizana tu kwa lengo la kupeana ajira. Zamani ndo kulikuwa na hiyo 'Jinsi ya kujiunga" ilikuwa ajira ya wito hasa, full of vetting

elimu inayotakiwa je?
 

THIS IS GOOD, ILA WASAHAU KABISA KUWA UTENDAJI KAZI WA UWT UNAWEZA KUANIKWA HADHARANI...NEVER.
Nafikiri tatizo kubwa lipo katika SHERIA tu haya masuala ya teknolojia na mengineyo naamini wameshabadilika siku nyingi sana kwakua UWT sio idara ya mifugo au kilimo.
 

mbona umerudia yale yale aliyosema yericko sasa??
 
kama nawaona wahusika wakipitia huu uzi huku wakikenua meno na kung'ong'a
 
Huwa nikisikia neno usalama wa taifa mara zote nahisi ni watu wabaya (people with bad concern) na sijui ni kwa nini.
 

Finally kuna mtu ame notice ikulu inatumia yahoo emails, mimi hiyo kitu haijawahi kuniiingia kichwani. Wizara ya sayansi na teknolojia, TCRA na Usalama wa taifa hawajawahi kuona jinsi documents na sensitive information za nchi zinavyokuwa vulnerable kwa kufanya hivyo????
 
http://www.theguardian.com/world/2014/apr/24/vladimir-putin-web-breakup-internet-cia

Wakati rais Putin anakwambia internet ni project ya CIA (technically correct, the ARPANET was funded by The US Department of Defense) na hivyo anataka kila kampuni inayofanya biashara Russia naku save habari za Warusi I save habari hizo katika servers zilizo Russia tu, sisi Ikulu yetu inawapa habari zetu wenyewe Wamarekani kwa kutumia Yahoo.
 
2015 tunahitaji presdaa atakayekuja kurekebisha haya yote. Tumejishau sana kwa kweli
 

Kwaujumla nchi yetu ipo uchi, ikulu ipo uchi,
 
Yericko Nyerere your analysis and advice concerning TISS,will exist for many years time.mungu ukubariki kwa uzalendo kwa taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…