inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa hiyo tusiweke walinzi Wala kuchanja chanjo,na Wala kumuomba mtu msaada!?..au kumtegemea binaadam hapa imekaaje?Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
SI Mimi ni biblia ndio inasema hivyo.
Biblia ni kinywa Cha Mungu.
Mwenye neno na aseme neno Tena kwa ujasiri.
NENO LA MUNGU NI MOTO ULAO