bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Mkuu kaweke vitu sawa,hao wanaokupinga hpa ni hatari,sana wengi wao wanashirki ngono ya kinyume na sehemu halali,pia nn wazinifu...bora ww mwenye nia ya kutaka kupiga hatua na ulishe familia yako kila la kheri.Ukisoma wewe peke yako inatosha acha mimi niweke mambo yangu sawa, binadamu wabaya sana.