Naenda Tanga kuoa

Twende mkuu tuongozane mi next week naenda kuchukua chombo nijipoze na baridi
 
Namimi nashida hiyo.Nije pm?
Yes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
 
Pale limbwata linaponoga...jipange mzee kuoa siyo jambo la mchezo mchezo, unabet maisha ujue
 
Mkuu una uhakika lakin?
Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!

Kwa ndoa za hivi yatakayomkuta akiyasimulia kwa watu nani atatamani kuishi kinyumba na mwanamke sembuse kufunga nae ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…