Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Unasema kweliii??!!Nikupe namba ya mtu ufikie kwake akitafutie mke uoe chapub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema kweliii??!!Nikupe namba ya mtu ufikie kwake akitafutie mke uoe chapub
Nikupe namba ya mtu ufikie kwake akitafutie mke uoe chapub
Mkuu sijakuelewa badoSababu ya kwenda huko pia ni kumchukua binti mdogo ambaya ni kama na mlea
Yes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesaUnasema kweliii??!!
Twende mkuu tuongozane mi next week naenda kuchukua chombo nijipoze na baridiHabari wadau, i hope wote mpo poa sana.Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa dar es salaam.
Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha hilo.Nipo serious.
Yes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingiNamimi nashida hiyo.Nije pm?
Twende mkuu tuongozane mi next week naenda kuchukua chombo nijipoze na baridi
Una viloba vingapi vya mchele nyumbani?
Twende mkuu tuongozane mi next week naenda kuchukua chombo nijipoze na baridi
Mkuu nishamaliza taratibu zote hapa nasubiriwa mm tuMkuu ushapata au unaenda kufukuzia pia
Ni vizuri, wakule hawajui kujishughulisha zaidi ya kusubiri shoo tu 😀Suala la chakula hamna shida…Pesa ipo
Mkuu nishamaliza taratibu zote hapa nasubiriwa mm tu
nipatie muongozo tafadhali.Ikifika zamu ya wanaotaka kuoa Zanzibar mtaniambia niwape muongozo
Utafakari hii pia..
View attachment 2711420
Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!Mkuu una uhakika lakin?
Pale limbwata linaponoga...jipange mzee kuoa siyo jambo la mchezo mchezo, unabet maisha ujue