Nafasi 2 watu 7500, kuna haja ya kujisumbua kwenda kufanya interview au niendelee kumbonji tu?

Usitazame kama nafasi 2 watu 7500. Itazame kama nafasi moja na wewe tu, hao 7500 wanakuja kufanya mazoezi ya interview tu.
 
Nenda kapiga usaili, hata usipopata huenda ukaingia data base ukaja chomokea huko..
 
Wewe endelea kumbonji ,, mimi ndiyo natoka kwenye paper hapa ,, siangalii watu wangapi wameomba hilo watajua wenyewe.
 
Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500.
Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli?
Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
Endelea kulala jamaa usubiri uitwe interview ya pekee yako.
 
1749893872297.png
 
Kati ya hizo nafasi mbili kwanini isiwe wewe ndiyo maana Mungu hawapi watu waoga
 
Kama unajua vitu nenda kafanye. ukweli ni kwamba kazi zipo ila watu na madegree zao hawajui kazi. wanataka waajiriwe halafu wapelekwe short course. hiyo sio kweli

Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500.
Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli?
Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
 
Kama unajua vitu nenda kafanye. ukweli ni kwamba kazi zipo ila watu na madegree zao hawajui kazi. wanataka waajiriwe halafu wapelekwe short course. hiyo sio kweli
Kama unajua vitu nenda kafanye. ukweli ni kwamba kazi zipo ila watu na madegree zao hawajui kazi. wanataka waajiriwe halafu wapelekwe short course. hiyo sio kweli
mimi nilifanya june 2018 tulikuwa zaidi ya 2500 nafasi tatu. Moja ya nafasi hizo nilipata mimi. Tatizo watu wanashindwa written na wengine wanashindwa oral. Kufika oral haina guarantee utafaulu. kwenye oral pia wame set marks za kufaulu kama wote mliofika oral hamjafikia mnafeli wote
 
Mimi kama mtanzania halisi Nina uhakika pasina shaka hizo nafasi Zina watu Tyr na kinachoenda kufanyila ni gelesha tu ila Kuna watu hata kwenye interview hawatakuwepo wamesubiri kurupot kazini muda wowote.

Kama ni karibu unaweza kwenda Kwa mguu au nauli isiyozudi buku kwenda na kurudi wee nenda ukapate experience ya usaili.

Kilala heri mkuu

Hii sio kweli Mkuu, Usikatishe tamaa.
Daily tunaona washkaji wanaitwa kazini na hawana connection.

Connection zipo lkn sio kwa kiasi hicho
 
mimi nilifanya june 2018 tulikuwa zaidi ya 2500 nafasi tatu. Moja ya nafasi hizo nilipata mimi. Tatizo watu wanashindwa written na wengine wanashindwa oral. Kufika oral haina guarantee utafaulu. kwenye oral pia wame set marks za kufaulu kama wote mliofika oral hamjafikia mnafeli wote

Na mkifaulu wengi utumishi wana utaratibu wa kuweka watu reserve, Unashangaa tu umeitwa
 
Back
Top Bottom