Nafasi 2 watu 7500, kuna haja ya kujisumbua kwenda kufanya interview au niendelee kumbonji tu?

Nafasi 2 watu 7500, kuna haja ya kujisumbua kwenda kufanya interview au niendelee kumbonji tu?

Ni ngumu kumuaminisha mtu kwamba hakuna connection hadi mtu awe na personal experience. Kuna jamaa yangu alipata asali ya eGA, nikiwaambia tuliokuwa tuna hustle naye mtaani hawataki kabisa kuamini.

Kwa kweli PSRS ni game changer.
Naam,šŸ¤
 
Na mimi siku moja nitatoa ushuhuda. Nina historia ya kuwa wa kwanza kuvunja rekodi kwenye familia, this time itakuwa kubwa kuliko zote.
Naam hongera sana kijana ,wewe hakika kwenye vikao vya familia watakuuliza unatumia kinywaji gani mkuu tafadhari!, sio kuletewa mirinda nyeusi šŸ˜‚bila kuulizwa !,
Hakika vijana tusichoke kupambania ndoto zetu.
 
Naam hongera sana kijana ,wewe hakika kwenye vikao vya familia watakuuliza unatumia kinywaji gani mkuu tafadhari!, sio kuletewa mirinda nyeusi šŸ˜‚bila kuulizwa !,
Hakika vijana tusichoke kupambania ndoto zetu.
Tuzidi kumtumaini Mungu. Nakumbuka wakati fulani naenda kwenye oral moja nilikuwa napiga maombi ya kimya kimya hadi ustadhati mmoja aliyekuwa jirani na mimi akanistukia kwamba nipo kwenye dua.
 
Connection kwenye nafasi za Ajira portal ni less than 1%, Connection ziko kwenye mashirika yanayo lipana vzuri na kuajiri wenyewe kama TANAPA and the like
 
Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500.
Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli?
Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
You’re the first in your family with this kind of opportunity.
You’re not just building a life
You’re rewriting a generational curse.

So when your legs shake and your mind screams ā€œI can’t take this anymore,ā€
remember this:

You’re not tired. You’re chosen.

Get up. Fight. Again.
Because when you win, they all win
The ones before you, the ones after you, and the man inside you who refused to stay average.
 
Back
Top Bottom