connection hakunaHii sio kweli Mkuu, Usikatishe tamaa.
Daily tunaona washkaji wanaitwa kazini na hawana connection.
Connection zipo lkn sio kwa kiasi hicho
connection hakunaHii sio kweli Mkuu, Usikatishe tamaa.
Daily tunaona washkaji wanaitwa kazini na hawana connection.
Connection zipo lkn sio kwa kiasi hicho
yes wanawaweka kwenye database. nafasi ikitokea ambayo wa kwenye database wana fit wanaitwaNa mkifaulu wengi utumishi wana utaratibu wa kuweka watu reserve, Unashangaa tu umeitwa
ukitaka kujua kama utaitwa au watakuweka kwenye database ni hivi ukimaliza oral wakati unachukua vitu vyako watakupa vyeti vyako halafu watakuita watakuomba vyeti vyako wataanza kuandika reg namba za vyeti vyako hapo unakuwa marks za oral umezifikisha. ila wakikupa tu vyeti vyako ukaondoka straight hao ni holayes wanawaweka kwenye database. nafasi ikitokea ambayo wa kwenye database wana fit wanaitwa
Hizo uhakika Zina watu 💯Hii sio kweli Mkuu, Usikatishe tamaa.
Daily tunaona washkaji wanaitwa kazini na hawana connection.
Connection zipo lkn sio kwa kiasi hicho
Hii ni mpya. Ngoja tuipeleke JamiiCheck kwanza.ukitaka kujua kama utaitwa au watakuweka kwenye database ni hivi ukimaliza oral wakati unachukua vitu vyako watakupa vyeti vyako halafu watakuita watakuomba vyeti vyako wataanza kuandika reg namba za vyeti vyako hapo unakuwa marks za oral umezifikisha. ila wakikupa tu vyeti vyako ukaondoka straight hao ni hola
Mkuu,tra mshaanza kazi?Nenda mkuu huwezi jua huenda hiyo nafasi mojawapo ni yako🙏, pia unavyojishauri kutokwenda ndivyo na wengine wanajishauri at the end wachache wataenda hivyo competition itapungua, so nenda haikupunguzii chochote hata usipopata
Sijajua kwanini watu huwa mnapenda kutoa experience za uongo. Kitu kikitokea kwa mtu mmoja basi mnafanya kama ni issue ya applicants wote nchini.ukitaka kujua kama utaitwa au watakuweka kwenye database ni hivi ukimaliza oral wakati unachukua vitu vyako watakupa vyeti vyako halafu watakuita watakuomba vyeti vyako wataanza kuandika reg namba za vyeti vyako hapo unakuwa marks za oral umezifikisha. ila wakikupa tu vyeti vyako ukaondoka straight hao ni hola
Jamaa ni muongo.Hii ni mpya. Ngoja tuipeleke JamiiCheck kwanza.
jamaa kakata tamaa badala ya kupambana hajui yeye anaweza kuwa bora kuliko hao woteEndelea kulala jamaa usubiri uitwe interview ya pekee yako.
Kwa kifupi kilitokea kwa wengi na kwangu pia. Tatizo wa TZ wengi hawapendi kuambiwa ukweli.Sijajua kwanini watu huwa mnapenda kutoa experience za uongo. Kitu kikitokea kwa mtu mmoja basi mnafanya kama ni issue ya applicants wote nchini.
Jitahidi uende kwenye InterviewNauli kwenda na kurudi ni elfu na mia 4 tu.
Kabisa yani, hizi fikra zimejaa kwenye vichwa vya watu wengi sana hatumbuwi kwamba kila mmoja wetu ana siku yake ya kupata tena siku iliyojificha kabisa.jamaa kakata tamaa badala ya kupambana hajui yeye anaweza kuwa bora kuliko hao wote
Nenda kajaribu bahati yako.Nauli kwenda na kurudi ni elfu na mia 4 tu.
Umefanya jambo jema kuwapa watu ushuhuda. Maana ungeweza kukaa kimya lakini ukawa mzalendo kuwaambia watu ukweli. mimi niliwapa vijana ushuhuda pia. Vijana jiamini kafanyeni paperTrue Story!!!
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa natafuta kazi,ikajitokeza nafasi moja 1 ya kazi taasisi fulani ,nikaomba kupitia Utumishi ajira-portal,interview ikatangazwa na majina yakatolewa.
Tulikuwa watu takribani 430 hivi kwa hio nafasi moja,pata picha enzi hizo unafanyia usaili Dar Es Salaam tu!, na mimi nilikuwa mkoani Iringa,Nikafunga safari lengo lilikuwa kupata uzoefu maana ndio ilikuwa mara ya kwanza kufanya usaili kupitia Utumishi -ajira portal.
Tumefika kwenye usaili wa kuandika maswali kadhaaa very technical, tupo watu tusiopungua 350 kwa hio nafasi moja, mimi nilichora pepa bila hofu nikarudi zangu nilipofikia kusubiri mchujo baada ya siku mbili.
Pap baada y muda fulani ,majibu yakatoka wametuchagua watu 27 tu kuendelea na usaili wa oral !,ililuwa experience nzuri sana,nikajipanga kwa oral ,uzuri nilisoma shule za mrumi ,kinge hakipigi chenga.
Baada ya mwezi nafasi ilipata mtu mmoja wengine 26 tuliikosa, ilivyo bahati baada ya miezi 8 toka tupate matokeo,tulipigiwa simu wote 26 kwa muda wake tukitaarifiwa kuripoti kazini taasisi nyingine ,eti kuna nafasi zimepatikana,
Nilifurahi sikuwahi tegemea maana Kanzi data ilinikumbuka tena ilinikuta namwagilia mboga zangu kijijini maana sikuwa na mchongo tena
Nenda kafanye usaili utajifunza kitu na utakutana na wengi watakuinua.
Shukrani.,Pia mambo yalianza upande wa classmate wangu wakisema jamaa ana connection yule ,nikawa napokea cm kuombwa kutoa connection 😂😂😂😂. Wapo waliouliza ilikuwaje na wao wamehangaika nafikiri wa5,wamepata kazi sehemu nzuri zaidi na wanashuhudia hakuna connection maana hawakuwa wanamjua yeyote !.Umefanya jambo jema kuwapa watu ushuhuda. Maana ungeweza kukaa kimya lakini ukawa mzalendo kuwaambia watu ukweli. mimi niliwapa vijana ushuhuda pia. Vijana jiamini kafanyeni paper
Ni ngumu kumuaminisha mtu kwamba hakuna connection hadi mtu awe na personal experience. Kuna jamaa yangu alipata asali ya eGA, nikiwaambia tuliokuwa tuna hustle naye mtaani hawataki kabisa kuamini.Shukrani.,Pia mambo yalianza upande wa classmate wangu wakisema jamaa ana connection yule ,nikawa napokea cm kuombwa kutoa connection 😂😂😂😂. Wapo waliouliza ilikuwaje na wao wamehangaika nafikiri wa5,wamepata kazi sehemu nzuri zaidi na wanashuhudia hakuna connection maana hawakuwa wanamjua yeyote !.