MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
You're damn right, na hzo ndizo sifa ninazozizungumzia not necessary mpaka uwe na hizo degree...Hao pia wana sifa zao wanazozihitaji kama tangazo linavyosema
Ana wasiwasi nae itakua 😅Mzee wa ikulu kila nafasi wataka wewe[emoji23]
Tumia vpn, kidogo inasaidiaHivi mbona link haifunguki au kwangu tu?
Nakazia-
Uliza kilichofanyika mwaka 2021
Kulipata sasaNaamini majobless wenzangu wataanzisha ma group ya WhatsApp kama mara ile, hata lile la telegram itabidi tulifufue [emoji23][emoji23][emoji23]
Maswali mengi yalitupiwa mule.
Tafuta ile link ya group la telegram imo humu humu Jamii forum.
Hizi ngoma zinazoenda manually kupasua ni ngumu mno. Kila mtu anapambana aweke wa kwake, tuendelee kuomba Mungu tu.mwaka jana nilijaribu huku ila kama huna wa kukushika mkono hapa pccb acha , maana kuna ambao hawakufanya written interview ila majina yao yakatokea kwenye oral interview , hii ishu aliwahi iongelea jamaa anaitwa Abdul Nondo kwenye mambo yote yaliyotokeaga hapa , ila kujaribu sio dhambi
wanalipa according to pccb salary scale hawatumiii TGS kwasababu ni taasisiBonge la fursa aisee
Sjui scale za mishahara yao huwa zipoje
me cheti cha la saba ninacho ila umri ndio unanipiga chini mamaeee nina 31 yrs hahhahahaahWanaznguaaa,
Yaan vyeti vya la saba karne ya 21,
Mm nilijarbu kufatilia wananambya havijatoka na ni kitambo nimemalza mpk nikachoka
Kaka tunaomba maswali mliyoulizwaBado sijakata tamaa nitazipambania tena,japo mara ile walinipaisha 😂
Kaka tunaomba maswali mliyoulizwa
Usijisumbue kama huna connection
Hao jamaa wahuni wanatuzuga TU,me mwaka Jana nilikuwa nawaambia ukweli humuwezi kupata kama huna mtu mzito maana zimeshajaa hizo nafasi watu wanaenda kufanya usaili hewa hata mwaka huu watu wao wameshawaweka,Naam
Bado sijasahau, kile kituko cha ajira walitangaza wakaanza kupeana nje nje, vijana wakaenda dodoma wakati wa oral wakaitwa watu ambao hawakufanya written.
Nadhani uzi umo humu ndani.
Ni vizuri kama hawana haja na watoto wa wakulima wawe wanapeana tu kimya kimya kuliko kusumbua watu ili tu ionekane haki imetendeka.
Bora ww umeyaona pia hao jamaa kichefu chefuNaam
Bado sijasahau, kile kituko cha ajira walitangaza wakaanza kupeana nje nje, vijana wakaenda dodoma wakati wa oral wakaitwa watu ambao hawakufanya written.
Nadhani uzi umo humu ndani.
Ni vizuri kama hawana haja na watoto wa wakulima wawe wanapeana tu kimya kimya kuliko kusumbua watu ili tu ionekane haki imetendeka.