FANYA applct ukipata utajua acha maswal ya kiyoto wakat ndio kwanza upo kwenye mchakato wakutafuta kazi[emoji120][emoji120][emoji120]Hivi mshahara ya Assistant Investigator huwa ina range kwenye Tsh ngapi
Tafuta namna uurudishe nyumame cheti cha la saba ninacho ila umri ndio unanipiga chini mamaeee nina 31 yrs hahhahahaah
ivii mwaka jana ilikuaje dizain kama nakumbuka walishawahi kutangaza ajira hawa takukuru hivi karibuniDaah nikikumbuka mwaka jana nguvu za kuapply sina
sema freshy tu wanasema kila jua linapochomoza linakuja na ridhiki mpya kwaio siku moja itakuwa yako au mm au yule hahahhahahTafuta namna uurudishe nyuma
OnlineHivi hizi application zinafanywa online au unatuma kwa njia ya posta?
Kuna mtu amefanikiwa kutuma hadi
KivipTafuta namna uurudishe nyuma
online bossHivi hizi application zinafanywa online au unatuma kwa njia ya posta?
Ni vyema ukapitia lile tangazo lao ukalisoma between words. Kuna masharti mengi sana ambayo ukiyajua itakurahisishia application yako.Hivi hizi application zinafanywa online au unatuma kwa njia ya posta?
Pdf ya tangazo lao mbona haipo kwenye websiteNi vyema ukapitia lile tangazo lao ukalisoma between words. Kuna masharti mengi sana ambayo ukiyajua itakurahisishia application yako.
IpoooPdf ya tangazo lao mbona haipo kwenye website
Sijaona maelekezo hayo kwenye tangazo lao. Ni vyema kulisoma tangazo kwa utulivu. Mtihani wa Kwanza ni huo wa kulielewa tangazo.Jamani hiv copy za vyeti ni lazima vigongwe muhuri kwa mwanasheria?
Jaribu kuangalia picha za referree umeziweka katika mfumo ganiKila nikisubmit inaleta ujumbe:
500 | Server Error
Imeshakubali, nahisi tatizo lilikua kwenye mfumo.Jaribu kuangalia picha za referree umeziweka katika mfumo gani
Hao hao pccb mwaka jana waliweka kozi kibao za arts nadhani wanatoa kwa kuangalia uhitajiSerikali ilitazame hili swala la kutoa ajira Kwa kubagua kozi, ka vp wangefuta mapema hizo kozi ili watu wasipoteze muda wa kusoma,
Unatoaje ajira Kwa kozi za engineering na science pekee na kuacha kozi zingine? Uhamiaji nao walifanya upumbavu kama huu, eti kozi za arts na social science ni moja tuu sheria.
Pia swala la umri wanazingua sana, mtu amemaliza akiwa na umri mzr, serikali imechelewesha ajira umri ushaenda afu unamuekea mtu kigezo Cha umri wa kulaumiwa nani kama sio serikali?
Serikali ipige marufuku haya mapungufu na vigezo vya ovyo katika utoaji ajira.