Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
 
Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
Aseee ka vp wafute koz zote wabakize za science tuu, maana ndo kipaumbele Chao Kila mwaka, isije ikawa watu wanapoteza time vyuoni for nothing
 
Uzi umepoa sana tofaut na ule wa mwaka jana, tuckate tamaa tuombe tena ingawaje mwaka jana weng wetu tulipaishwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…