Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanya online mzee kwa portal yao hao pccbHivi hizi application zinafanywa online au unatuma kwa njia ya posta?
Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sanaSerikali ilitazame hili swala la kutoa ajira Kwa kubagua kozi, ka vp wangefuta mapema hizo kozi ili watu wasipoteze muda wa kusoma,
Unatoaje ajira Kwa kozi za engineering na science pekee na kuacha kozi zingine? Uhamiaji nao walifanya upumbavu kama huu, eti kozi za arts na social science ni moja tuu sheria.
Pia swala la umri wanazingua sana, mtu amemaliza akiwa na umri mzr, serikali imechelewesha ajira umri ushaenda afu unamuekea mtu kigezo Cha umri wa kulaumiwa nani kama sio serikali?
Serikali ipige marufuku haya mapungufu na vigezo vya ovyo katika utoaji ajira.
31 mbali hivyo Mkuu. Kwenye jambo lao wanataka watu wenye 25 kushuka chini 😂😂Tulio na 31 na kuendeleaaa 🥲🥲🥲🥲
EE Mungu wangu mbona kigezo cha umri kimekuwa kikwazo hatar tena hawa jamaa wanatutakia nini yahee,,, mmmhh Mungu nitie nguvu upya
haya mambo wana fail sana, umri ni number tu.. naweza kuwa nina 35 nipo fit sana na mwepesi kufundikisha na kuelewa kuliko wa 24 kushuka chini31 mbali hivyo Mkuu. Kwenye jambo lao wanataka watu wenye 25 kushuka chini 😂😂
Aseee ka vp wafute koz zote wabakize za science tuu, maana ndo kipaumbele Chao Kila mwaka, isije ikawa watu wanapoteza time vyuoni for nothingSasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
Mwaka jana watu wa fani karibu zote walihitajika, mwaka huu Maengineer na wanasheria wanahitajikaHuu uzii safari hii umekosa wachangiaji kama ule wa mwaka Jana au ndo kusema wengi walitoboaa
Ombeni hizi nafasi aisee kuna neema niliipata last yr
Mkuu uliipata wapi ? Kama ni huko huko naomba maswali mliyouliza maana mimi pia nina applyOmbeni hizi nafasi aisee kuna neema niliipata last yr
Mkuu natumai umefanikiwa tupe maelekezo kidogoKila nikisubmit inaleta ujumbe:
500 | Server Error
Mliulizwa maswali gani interview ? Na mimi nime applyUzi umepoa sana tofaut na ule wa mwaka jana, tuckate tamaa tuombe tena ingawaje mwaka jana weng wetu tulipaishwaa