Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Serikali ilitazame hili swala la kutoa ajira Kwa kubagua kozi, ka vp wangefuta mapema hizo kozi ili watu wasipoteze muda wa kusoma,

Unatoaje ajira Kwa kozi za engineering na science pekee na kuacha kozi zingine? Uhamiaji nao walifanya upumbavu kama huu, eti kozi za arts na social science ni moja tuu sheria.

Pia swala la umri wanazingua sana, mtu amemaliza akiwa na umri mzr, serikali imechelewesha ajira umri ushaenda afu unamuekea mtu kigezo Cha umri wa kulaumiwa nani kama sio serikali?

Serikali ipige marufuku haya mapungufu na vigezo vya ovyo katika utoaji ajira.
Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
 
Sasa jamaa si wanaangalia nafasi ipi inahitaji watu kwa wakati huo mbona vitu vipo clear sana
Aseee ka vp wafute koz zote wabakize za science tuu, maana ndo kipaumbele Chao Kila mwaka, isije ikawa watu wanapoteza time vyuoni for nothing
 
Back
Top Bottom