nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
 
Unawajua majaji utaratibu wake wa kuwatengua baada ya kuwateua
 
Haiwezekani niwe baba mwenye nyumba, halafu unipangie chumba gani niingie na chumba gani nisiingie.

Ikibidi hata vya watoto wa kike nitaingia, japo itabidi nitoe taarifa kwa mama yao au wao wenyewe.
 
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Wabunge wa kuchaguliwa, hasa ikiwa sio wa chama chake. Japo hata huko 'upinzani' ana kauli pia.
 
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Ujaji
 
Back
Top Bottom