Unawajua majaji utaratibu wake wa kuwatengua baada ya kuwateuanafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Wabunge wa kuchaguliwa, hasa ikiwa sio wa chama chake. Japo hata huko 'upinzani' ana kauli pia.nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Japo kuna ka upepo kalipita hivi kwa ma CoS baada ya kustaafu mnyampala yule ilikuwa ni mwendo wa ubalozini tu.Jeshini wanapaogopa mno maana wanajua wakipaendea pupa wanakalia kaa la moto sasa hivi
Ujajinafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Ujaji