Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

Nami nakuuliza pia shule ulikwenda kufanya nini? Unapatiwa mpini unashindwa kujua wapi pa kupata jembe!!
Nilienda kusubiria PDF nisome, sijasema kwa ubaya lakini nilipoona umeweka nikahitaji muendelezo si kwamba nmetegemea kitonga that's why ukisoma kwa makini nimeandika neno 'kwa manufaa ya wengi' sio Mimi binafsi
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
'Elli' imetosha sasa ndugu yangu duh πŸ˜†
Hahaha yameisha ndugu yangu, all the best Ndugu yangu, ukipata KAZI Huko ukumbuke kutoa zaka na fungu la kumi kwa wahitaji. Blessed πŸ™
 
Nilienda kusubiria PDF nisome, sijasema kwa ubaya lakini nilipoona umeweka nikahitaji muendelezo si kwamba nmetegemea kitonga that's why ukisoma kwa makini nimeandika neno 'kwa manufaa ya wengi' sio Mimi binafsi
Yameisha ndugu yangu, barikiwa
 
...Nimetoka Kapa ! Mmemuelewa ? Aliyeelewa anijuze tafadhali....[emoji848][emoji848]
 
Ukitaka kuwaelimisha Watu unaitwa Shoga! Tuna Watu Wapumbavu sana sana. Haya Mambo yapo Mwakyembe hakua na kitu kipya! Haya Global Fund wamemwaga mpunga huo hapo sasa.
Na hawajaanza Leo...Misaada kibao Sekta ya Afya ,Halafu watu wansinua pua ..etiUshoga! Mbona vya mashoga tunakula...!
 
Asilimia kubwa ya Bajeti ya Maendeleo ktk Sekta ya Afya zinakafungamano na Ushoga ...wanajificha kwenye mwavuki wa UKIMWI! Hata afua za watoto wanaonishi kwenye Mazingira Hatarishi kote huko wanamkono wao...wanawa.zoom tu.mnapopiga kelele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…