Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

Nami nakuuliza pia shule ulikwenda kufanya nini? Unapatiwa mpini unashindwa kujua wapi pa kupata jembe!!
Nilienda kusubiria PDF nisome, sijasema kwa ubaya lakini nilipoona umeweka nikahitaji muendelezo si kwamba nmetegemea kitonga that's why ukisoma kwa makini nimeandika neno 'kwa manufaa ya wengi' sio Mimi binafsi
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
'Elli' imetosha sasa ndugu yangu duh 😆
Hahaha yameisha ndugu yangu, all the best Ndugu yangu, ukipata KAZI Huko ukumbuke kutoa zaka na fungu la kumi kwa wahitaji. Blessed 🙏
 
Nilienda kusubiria PDF nisome, sijasema kwa ubaya lakini nilipoona umeweka nikahitaji muendelezo si kwamba nmetegemea kitonga that's why ukisoma kwa makini nimeandika neno 'kwa manufaa ya wengi' sio Mimi binafsi
Yameisha ndugu yangu, barikiwa
 
Tanzania ni Mojawapo ya Nchi inayopenda kuongozwa Kwa matukio, yaani akitokea MTU hasa MTU Mwenye njaa zake Huko basi mtatengenezewa tukio mtajiona nyie NDIO nyie.

Miezi michache iliyopita Mwakyembe na mwandishi wake walijitokeza hadharani na kuja na allegations kibao, mitandao yote ikabeba hio NDIO ikawa Agenda, wale ambao tulikua na mtazamo tofauti tukapewa Kila jina BAYA.

Upepo umepita, Leo nafasi ya KVP ( KEY AND VULNERABLE PEOPLE) OFFICER imetangazwa kwenye mradi mpya wa Global Fund sijasikia wale wapiga Zumari wakipiga kelele, Tena unaweza kukuta NDIO applicants wa Kwanza.

Kuna mengi yanayobebwa na kivuli Cha KVP, SEMA hatutaki kuambiwa ukweli tukishajazwa ujinga.

KVP: Key populations — sex workers (SWs), gay men and other men who have sex with men (MSM), transgender people (TG), and people who inject drugs (PWID) — are disproportionately affected by HIV.

Na TANZANIA tunayo guideline kabisa, ninachosema ni kwamba, Mwakyembe na nyie wapiga Zumari mlikosea kukashifu watu wakati tukieleza kuwa SERIKALI YA CCM ndio inayochagiza haya Mambo.

Tanzania-KP-GUIDELINE-1.pdf - Global HIV Prevention Coalition
...Nimetoka Kapa ! Mmemuelewa ? Aliyeelewa anijuze tafadhali....[emoji848][emoji848]
 
Ukitaka kuwaelimisha Watu unaitwa Shoga! Tuna Watu Wapumbavu sana sana. Haya Mambo yapo Mwakyembe hakua na kitu kipya! Haya Global Fund wamemwaga mpunga huo hapo sasa.
Na hawajaanza Leo...Misaada kibao Sekta ya Afya ,Halafu watu wansinua pua ..etiUshoga! Mbona vya mashoga tunakula...!
 
Asilimia kubwa ya Bajeti ya Maendeleo ktk Sekta ya Afya zinakafungamano na Ushoga ...wanajificha kwenye mwavuki wa UKIMWI! Hata afua za watoto wanaonishi kwenye Mazingira Hatarishi kote huko wanamkono wao...wanawa.zoom tu.mnapopiga kelele!
 
Back
Top Bottom