Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kitendo hiki ni Cha Uvunjaji mkubwa zaidi wa Katiba ya nchi hii ya Tanzania.Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani...
Unaanza kupoteza "focus" [emoji1787][emoji1787]Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani...
Mungu atuepushe na kutekwa, AminaKitendo hiki ni Cha Uvunjaji mkubwa zaidi wa Katiba ya nchi hii ya Tanzania.
Rais wa Zan's hana mamlaka ya ki-Urais wa kuiwakilisha Tanzania huko nje ya nchi kwani hana mamlaka ya kikatiba kwa upande wa...
Ulipotaja tu Tanganyika.....hoja zako zote zikawa "null and void"...Kitendo hiki ni Cha Uvunjaji mkubwa zaidi wa Katiba ya nchi hii ya Tanzania.
Rais wa Zanzibar hana mamlaka ya ki-Urais ya kuweza kumwakilisha Rais wa Tanzania huko nje ya nchi kwani hana mamlaka ya kikatiba kwa upande wa Tanganyika...
Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka inayoitwa presidential appointment ya kumteua mtu yeyote kumsaidia au kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania and sometimes sio lazima awe Mtanzania!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani...
Nani wa kumteka dada yangu....Mungu atuepushe na kutekwa, Amina
Kwahy umesema ndugu mtoa mada ni dada yako au siyo 😎Dada yangu unaanza kupoteza "focus" [emoji1787][emoji1787]
Rais anaweza kukutuma hata WEWE ukamwakilisha huko nje....ndio "presidential decree" hiyo...
Haya mambo ya kidiplomasia yana mengi....
Waindonesia na utamaduni wao Rais Mwinyi anaweza kuujua kwani kaishi sana " UTURUKI".....
Ningeshangaa tu kama Rais Mwinyi angemwakilisha Rais Italy na isiwe mh.Makamu wa Rais....
Hujiulizi ni kwanini kule DAVOS alikwenda Dr.Mpango badala ya Dr.Mwinyi ?!!
Kwa kuwa DAVOS kunahusisha "mabepari" na Dr.Mpango alikaa nao sana kule IMF.....
#Anyigulile Kyala[emoji7]
Uwanda wa kisheria.Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka ya kumteua mtu yeyote kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania...
Kwa hierarchy hiyo uliyoeleza upo sahihi kabisa.Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka ya kumteua mtu yeyote kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania...
Ndio....Kwahy umesema ndugu mtoa mada ni dada yako au siyo [emoji41]
Nafasi ya Makamu wa Rais ni ipi?Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka ya kumteua mtu yeyote kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania...
Hii comment yako naomba uiandalie thread yake tushushe nondo zote ..Kitendo hiki ni Cha Uvunjaji mkubwa zaidi wa Katiba ya nchi hii ya Tanzania.
Rais wa Zanzibar hana mamlaka ya ki-Urais ya kuweza kumwakilisha Rais wa Tanzania huko nje ya nchi kwani hana mamlaka ya kikatiba kwa upande wa Tanganyika. Aidha...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.Nafasi ya Makamu wa Rais ni ipi?
Kudos mwanasheria [emoji7][emoji7]Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo anaweza kumpangia yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
P
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel TT
Rais wa Tanzania pia ni Rais wa Zanzibar, lakini Rais wa Zanzibar siyo Rais wa Tanzania yote.Ulipotaja tu Tanganyika.....hoja zako zote zikawa "null and void"...
Tanganyika haipo....imeshajiozea huko kaburini...
Hiyo Channel uliyoichagua Wananchi wakiangalia wanaumia machoKwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
P
Duh...!.Hiyo Channel uliyoichagua Wananchi wakiangalia wanaumia macho