Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Rais wa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ni waziri hivyo hawezi kuwa juu ya waziri mkuu.
 
Amani na utulivu..
Usifiri nje ya hapo
 
Dr mpango hatoshi
 
Kuna nini huko Indonesia.
Huenda ni maswala ya Karafuu...!
 
Ukisoma taarifa hii unaona moja kwa moja jinsi elimu yetu ilivyo na upungufu mkubwa!

Kwa mfano: kumwakilisha rais kunahitaji "'executive powers" powers zipi? Hao wengine mbali ya Makamu wake, wao hizo "executive powers" wanagawiwa na huyo rais? Kwa nini asimgawie na huyo Makamu wake ili amwakilishe?
 
Angalia ujinga kama huu nao unakuwa ni sehemu ya kuyahusisha na maswala ya serikali? Hii CCM imekuwa ni tatizo hasa ndani ya nchi hii.
 
halafu watu wanatazama tu! Niliandika huku kuwa subiri, Tanga, Dar na pwani zitakuwa sehemu ya Zanzibar kwa mwendo huu wa kizimkazi
 
halafu watu wanatazama tu! Niliandika huku kuwa subiri, Tanga, Dar na pwani zitakuwa sehemu ya Zanzibar kwa mwendo huu wa kizimkazi
Zitakuwa mara ngapi wakati ni kweli Dar, Tanga na maili kumii za eneo lote la pwani yote ya Africa Mashariki kuanzia Sofala hadi Lamu ni milki ya Sultan of Zanzibar. Mwaka 1890 ndipo Germany ikafanya mkataba wa Hellingoland, the Zanzibar Treaty kulinunua. Mama Kizi akilifanya la Zanzibar, atakuwa ni amerejesha kilichokuwa chake.
P
 
Asante kwa ufafanuzi wako
 
Leo kidogo umeandika point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…