Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Tanzania ni nini?
Muungano wa Nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar πŸ‘πŸ™

Nakazia ni Nchi MBILI kamilifu zilizoungana mwaka 1964 !
Tanganyika wakati huo ikiongozwa na Rais Hayati Julius Nyerere na Zanzibar ikiongozwa na Rais Hayati Abeid Karume !
Kipindi hicho mimi nikiwa Middle School darasa la V . πŸ™πŸ™
 
Kwamba kwa mujibu wa katiba Rais wa Zanzibar anamtangilia PM? Katiba inamtaja PM kama na. 3
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-31-07-30-26-15.jpg
    358 KB · Views: 3
Kwamba kwa mujibu wa katiba Rais wa Zanzibar anamtangilia PM? Katiba inamtaja PM kama na. 3
Kuna vitu viwili kwenye mtiririko wa uongozi, kuna constitutional hierarchy ambapo Rais wa Zanzibar is nobody ndani ya mfumo wa utawala wa nchi,
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ

Rais wa Zanzibar is nobody!, tena katiba ya JMT haiyatambui mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar yalifanywa 2010.

Lakini ki protocol
No. 1 ni Rais wa JMT
No. 2 ni VP
No. 3 ni rais wa Zanzibar
No. 4 ni PM
No. 5 ni DPM
No.6 ni VP 1 ZnZ
No. 7 ni VP 2 ZnZ
No.8 ni Spika
No. 9 ni CJ
No. 10 ni CDF

But when it comes kumwakilisha Rais popote, yeyote anaweza kuteuliwa hata wewe!.
P
 
Umeandika ujinga tu
 
Famba sana wewe..
 
Samahani DPM kirefu chake ni nini?

Na VP inakuwaje wako wawili Kwa Zanzibar?

Naomba nisaidie hierarchy ya kikatiba na kiprotokal Kwa upande wa znz tafadhali
 
Punguza Uchawa, jaribu kuchambua mambo kwa kutumia akili kidogo!
 
Watu wanafuatilia vitu vidogo, watu wanatekwa huko jamani na watu wasiojulikana wamerudi kwa kishindo
 
Mungu atuepushe na kutekwa, Amina
Makamu ni kama analazimishwa kwa sababu afya yake siyo nzuri. Ameshaomba kujiuzulu lakini wakamwambie avute vute muda mpaka ufike wakati wa uchaguzi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa 2025 wakati wa uchaguzi mafisi-M watateua makamu mwingine na atapatikana kwa hisani ya ''mwarabu'' kwani amewekeza sana kwenye hii nchi na kifo cha Makomeo kilitoa funzo kubwa. Unajua chanzo cha ugomvi wa kina ''Marope'' na ''bibi''? Baada ya kunusa na kujua makamu hatagombea tena 2025 walikuwa wanaandaa kwa siri mtu atakayechukuwa nafasi yake. Akishashika hiyo nafasi, baada ya uchaguzi, ''wafyatue'' kitanzi walichotega, na litokee la kutokea, mtu wao awe kinara wa nchi.
 
Haya Makinikia yako Kaka Pascal haya chenjuliki!
Tuambie ni zamu ya Wazanzibari kutamba,nitakuelewa.
 
Isdor Mpango ni threat kwa Samia so anapewa majukumu madogomadogo sana ili asiweze ku shine... Kuna wakati huko nyuma tullikuwa kama hatuna kabisa makamu wa rais kwa jinsi alivyowekwa kando. Ukiwa na uwezo mdogo lazima uwe muoga
 
Twatoka Zenji siye. Mwataka nini yakhe?
 
Isdor Mpango ni threat kwa Samia so anapewa majukumu madogomadogo sana ili asiweze ku shine... Kuna wakati huko nyuma tullikuwa kama hatuna kabisa makamu wa rais kwa jinsi alivyowekwa kando. Ukiwa na uwezo mdogo lazima uwe muoga
Kwa kawaida Maboss wakubwa mahala pa kazi huwa hawapendi wazungukwe na Wafanyakazi walio chini yake (subordinates) ambao ni smart na wenye elimu, akili au upeo mkubwa zaidi kuwazidi maboss wao. That's why Kuna msemo unaosema kwamba "never outshine your master." Hili suala ndio limekuwa kiini au chanzo kikubwa Sana cha kuibuka kwa Migogoro ya kugombea madaraka katika katikΓ  taasisi mbalimbali hapa duniani.
 
Walah katiba imesiginwa kabsaaa ,huyo mtu bara Hana chake
 
Ndio lakini ni principal assistant wake na ndio maana hao wengine anaweza kuwafukuza at will lakini huyo haiwezi. Pia huyo ni mwakilishi wake kama Waziri na sio kama Raisi wa Zanzibar. Ingesomeka amemtuma mjumbe wa Baraza la Mawaziri ambae pia ni Raisi wa Zanzibar. Kinachompa uwezekano wa kutumwa na Raisi wa Jamhuri ni uwaziri wake na sio Uraisi wake wa Zanzibar. La sivyo angeitwa mjumbe maalum Kwa niaba ya Raisi wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…