Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Huu Muungano tugawane mbao tu
 
Sisi tumezaliwa Tanzania hatukuikuta Tanganyika. Tanganyika iliishakufa zamani na ikazikwa jumla. Sasa tuna Tanzania tuu.
P
Pascal, hivi huwa unakuwaje kwenye ubongo wako??? Huwa Unafikiri kwa kutumia vigezo gani hasa??

Hiyo Tanganyika unayodai kwamba "ilishakufa zamani na ikazikwa" ni Tanganyika ya wapi hiyo??????
Ilikufa lini?? Ilizikwa wapi na kaburi lake liko wapi?? Je, unaweza kwenda kutuonyesha hilo kaburi ambalo Tanganyika ilizikwa humo??
 
Baba hizo deal za watu kumbuka Tanzania bara kuna mzanzibar na zanzibar kuna mzanzibar tukae kwa utulivu.
 
C
Chenga
 
Raisi kwa maelezo yako anaweza hata darasa la saba awe jurge.? Mgambo awe mkuu wa majeshi Dr awe CAG
[emoji1787]
 
Raisi kwa maelezo yako anaweza hata darasa la saba awe jurge.? Mgambo awe mkuu wa majeshi Dr awe CAG
Tujifunze basi kusoma kitu ndipo unlike swali. Nimekuwekea ndiko limesema Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote! ungelisoma hilo andiko, usingeuliza hili swali, ila kwa faida ya wengi nakuwekea
P
 
Mara mambo ya Muungano na kero za Muungano ziko kwake kimajukumu lakini hana Mamlaka nazo,hawezi kuhamisha hata mkato(,) kwenye setup yake.Katiba nzuri itakayoainisha majukumu na Mamlaka ya Kila VIP na kuondokana na hii (dried vip).inahitajika Sasa kama si leo.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…