Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Dr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
Ukimuweka Dr Mpango na Samia mwenye PhD ya mchongo kwenye mizani moja, Dr wa mchongo anaachwa kwa mbali sana. Utanielewa tu kama umeshawahi kufanya kazi na boss ambaye umemzidi kila kitu kasoro cheo tu.
 
Dr Mpango ndiye makamu wa Raisi lakini badala yake Dr Mwinyi ndiye kila mara amekuwa akitumwa kumwakilisha Raisi badala ya Dr Mipingo wakati Dr Mwinyi ana kazi kubwa ya kuongoza visiwa vya Unguja na Pemba. Raisi mpe Dr Mpango heshima yake na Dr Mwinyi abaki kusimamia Zanzibar na mawaziri wake. Acha tabia ya kumuona kama vile Dr Mpango ni wa kwenda kwenye misiba tu
Magufuli alimtumia sana Samia kwenda kuwakilisha lakini Samia anaendekeza Uzanzibari, tukiongea mnatuita wabaguzi
 
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
P
Iko siku tutatembezeana bakora. Ushamba unazidi!! Kuna kikundi kidogo sana tena chenye mrengo wa kidini kinaelekeza viongozi wetu ya kufanya! Mayeella, stay tuned!
 
Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka inayoitwa presidential appointment ya kumteua mtu yeyote kumsaidia au kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania and sometimes sio lazima awe Mtanzania!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania ambao Watanzania wote wa pande zote wana haki sawa za Utanzania hivyo kiuraia Wanzanzibari wote wana haki sawa za Utanzania kama wabara, hivyo wana haki ya kuteuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi popote ndani ya JMT na Rais wa JMT yuko huru kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote katiba jambo lolote!.

Inapotokea Rais hayupo kabisa au hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais kwa sababu yoyote ile ikiwemo kifo, then hierarchy ya Katiba ya JMT inafuatwa
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ

Lakini inapotokea Rais yupo busy, anaweza kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote.

Pia kuna hierarchy ya ki Protokali
No. 1. Rais
No. 2 VP
No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
No. 8 -Spika
No. 9- CJ
No. 10- CDF

Pm
Je "mbara" ana haki sawa na mtanzania??
 
"Hakuna mtanganyika ila kuna mzanzibari" Haya mambo we acha tu!
 
Nakaribia mwezi sasa nipo Zanzibar, napanga kuhamishia makao yangu huku.
 
Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka inayoitwa presidential appointment ya kumteua mtu yeyote kumsaidia au kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania and sometimes sio lazima awe Mtanzania!. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania ambao Watanzania wote wa pande zote wana haki sawa za Utanzania hivyo kiuraia Wanzanzibari wote wana haki sawa za Utanzania kama wabara, hivyo wana haki ya kuteuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi popote ndani ya JMT na Rais wa JMT yuko huru kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote katiba jambo lolote!.

Inapotokea Rais hayupo kabisa au hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais kwa sababu yoyote ile ikiwemo kifo, then hierarchy ya Katiba ya JMT inafuatwa
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ

Lakini inapotokea Rais yupo busy, anaweza kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote.

Pia kuna hierarchy ya ki Protokali
No. 1. Rais
No. 2 VP
No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
No. 8 -Spika
No. 9- CJ
No. 10- CDF

P
Katiba ya hovyo kabisa, Zanzibar inapaswa kuwa ni mkoa
 
We hamishia tu huko lakini tunajua huuziwi kiwanja huko utapanga adi ufe alafu uje uzikwe kwenu bulyankulu huku
Tatizo humu ndani mtu kama unatokea mabonde kuinama uko au huna hela basi unahisi na wengine pia wako kama wewe.

Anyway
 
Zitakuwa mara ngapi wakati ni kweli Dar, Tanga na maili kumii za eneo lote la pwani yote ya Africa Mashariki kuanzia Sofala hadi Lamu ni milki ya Sultan of Zanzibar. Mwaka 1890 ndipo Germany ikafanya mkataba wa Hellingoland, the Zanzibar Treaty kulinunua. Mama Kizi akilifanya la Zanzibar, atakuwa ni amerejesha kilichokuwa chake.
P
Makurunge bagamoyo ni eneo la zanzibar niliona kwenye taarifa ya habari wakitoa onyo kali wa wakazi wa Tanzania wanaokwenda kujenga kule
 
Back
Top Bottom