Watanzania wanahitaji sana kufundishwa katiba yao, Rais wa Tanzania ni executive president na sio ceremonial leader, amepewa mamlaka inayoitwa presidential appointment ya kumteua mtu yeyote kumsaidia au kumwakilisha popote as long as ni Mtanzania and sometimes sio lazima awe Mtanzania!.
Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania ambao Watanzania wote wa pande zote wana haki sawa za Utanzania hivyo kiuraia Wanzanzibari wote wana haki sawa za Utanzania kama wabara, hivyo wana haki ya kuteuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi popote ndani ya JMT na Rais wa JMT yuko huru kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote katiba jambo lolote!.
Inapotokea Rais hayupo kabisa au hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais kwa sababu yoyote ile ikiwemo kifo, then hierarchy ya Katiba ya JMT inafuatwa
No.1 ni Rais wa JMT
No.2 ni VP
No.3 ni PM
No.4 ni Spika
No. 5 ni CJ
Lakini inapotokea Rais yupo busy, anaweza kumteua mtu yoyote kumwakilisha popote.
Pia kuna hierarchy ya ki Protokali
No. 1. Rais
No. 2 VP
No. 3 ZnZ President
No. 4 PM
No. 5. DPM
No. 6 VP 1- ZnZ
No. 7 VP 2- ZnZ
No. 8 -Spika
No. 9- CJ
No. 10- CDF
Pm