SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Umri shidanjoo tuongee
Nini mkuuasante ila....
na wewe si hunitaki.. ebu nitumie namba PM basiWanne๐ณ
Nini mkuu
badoKwani Neutron na Electron zimekukataa?
Usijali njoo tuUmri shida
Nyamaza maanangoja ninyamaze
Ngoja nikuunganishe Kwa x wangu, naona uwezekano wa kumbadilishia mboga upo.....
maana nini.....Nyamaza maana
HapanaUsijali njoo tu
Oya nifanyie mpango niwe hata diwaniNakupendaa ephen wanguu hata uwe kipofu au bubu bado nakupendaa hivyo hivyo.
Rika lako nila u auntHapana
Hujui unataka ninimaana nini.....
Uaut no ila nimezeekaRika lako nila u aunt
Halafu huyu ni expert itakuwa piem wanamtosa kaona isiwe tabu kaja front liwalo na liwe ๐น๐น๐นHahaha sina kigezo hata kimoja
Hamna mume hapo kuna mpigaji tuHalafu huyu ni expert itakuwa piem wanamtosa kaona isiwe tabu kaja front liwalo na liwe ๐น๐น๐น
๐น๐น๐น JF ni kichaka chenye wanyama wakaliHamna mume hapo kuna mpigaji tu