Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Nafasi ya Mwanaume katika Jamii

Nani kasema kua mwanamke akiwa na msaidizi basi ameshindwa majukumu, acha kunilisha maneno..

Mpaka nafikia utu uzima nyumbani kukosa dada wa kazi ni mara chache mno. Miaka mingi nimeishi nao na wala sio kwamba wazazi/walezi wameshindwa majukumu

Nadhani double standards umezitengeneza ndani ya ubongo wako tu.

Mimi nachoamini ni kua hamna mjuzi wa mambo yote, utaisaidiwa baadhi. Hata Ke kuna vitu haviwezi atahitaji msaada na ndo hao wasaidizi majumbani.
Swali nililokuuliza hujajibu umejikita kwenye op
 
Hilo ndo jibu la ulichouliza tena ni in general.
 
Nimekuuliza umetoka kazini unarudi ukikuta fundi wa kiume anatokea chumbani kwako pamoja na mkeo ametoka kurekebisha taa utaelewa?
 
Mwanaume na pesa zake anaongea maneno haya kuhusu mkewe

Wewe sasa 🤣
 
Nimekuuliza umetoka kazini unarudi ukikuta fundi wa kiume anatokea chumbani kwako pamoja na mkeo ametoka kurekebisha taa utaelewa?
Unaanza kutoka nje ya mada sasa, na mimi nitakuuliza umetoka kazini unakuta dada wa kazi katoka kufanya usafi chumbani aliko mumeo utaelewa??
Ukianza kuleta hizo fikra utakua unatoka nje ya mjadala.

Kwanza how comes fundi aingie chumbani kwako na ww haupo?? Nani kamuita?
Toka mwanzo nakwambia mwanaume ni problem solver, hilo la taa mbona jepesi sana aisee, hivi kweli ushindwe kusolve ishu ndogo kama hiyo hata kama wewe hujui kuifanya??
 
Sasa hili swali lako mwishoni ndo linarudi kule kwenye mada yangu. Tuokoe muda bro. Wanaume simameni kwenye nafasi zenu.

Msipende sana kulaumu wanawake wanaofanya kazi au wanaopambana hamjui wana wanaume wa namna gani ndani. Kinachokufanya wewe uamini kwamba being a man makes you an automatic genius au problem solver ni nani?

Ukitoka kwenye box ulilojifungia utanielewa. Ila Wa kuelewa wameelewa.

kubwa ni kwamba kwenye jamii both men and men mmechangia kuwa na kizazi cha struggling women. Hii ntaisimamia hadi naingia kaburini
 
Kakweli bado sielewi wewe unachokisimamia ni kipi hasa.

Kulia hukai, kushoto hupataki.

Umetaka mumeo ajue kuweka bulb ndani na hizo kazi ndogo ndogo unataka azifanye asisaidiwe na fundi wala mkewe. Wewe wewe tena hutaki awe problem solver wako ilhali hivyo vijitatizo unataka asolve.

Mara tena useme tusipende kuwalaumu wanawake wanaopambana sijui wanaofanya kazi. Au labda unareply watu wengi hadi unachanganya madude.
Mimi sipo huko kwenye kulaumu wanawake wanaofanya kazi na kupambana mkuu.
 
Afadhali umeuliza.

Rudi kwenye mada yangu ya kwanza kabisa, then nenda kwenye comment yako. Wewe ndo unaruka ruka maana mi bado nipo kwenye point yangu ile ile

Hapo ndo utata ulipoanzia.

Mimi nilikua natolea mifano ya vikazi vya kawaida ambavyo mwanaume anaweza kuvifanya nyumbani nikatolea mfano usiku taa imeungua mwanaume atalala usingizi aseme anamsubiri fundi asubuhi aje afunge. Nikasema yule mwanamke anaweza akajaribu kuifunga hiyo taa ili wasikae giza yani huo mfano we usiubebe ukautafsiri kwenye taa peke yake. Beba kwenye maisha in general. Unaamini wanaume wote wana problem solving skills? Yani hapo ndo tulipoachania.

Nikaongeza kwamba mwanamke akijaribu yeye kufanya mwanaume anaona kama mwanamke anashindana nae au anajaribu kujifanya mwanaume wakati yeye hana ujuzi huo.

Yani naona uvivu kurudia haya maelezo ila em jaribu kutoka nje ya box uichukulie ile mifano katika maisha ya kawaida. Soma vizuri comments zangu uzielewe.

Wanawake wanapojaribu ku solve matatizo ambayo wanaume ‘wao’ wameshindwa wanaonekana feminists na wanataka kushindana na wanaume au kujipambanisha nao. Ndo mada yangu ilipoanzia. Wewe unakomalia kusema hilo halimvui mtu uanaume nani kasema linamvua?

Nilichokua namaanisha ni kwamba wanawake wengi wameamua ku step up katika familia baada ya wanaume walio nao kushindwa kusimamia nafasi zao. Nimetoa mifano mingi sielewi unabisha nini unakazana kusema babu yako alikua mkulima sijui mashamba nani anaongelea baby boomers hapa? Vijana wengi sasa hivi ni millenials na Gen Z. Wengi Hawashiki majembe wanatakiwa kutumia akili hata za kawaida tu kuishi.

Bro em jaribu kutathmini reality. Look at the bigger picture

Kama na hili hutalielewa aisee tufanye hii mada imeisha.
 
Rudi juu uangalie nilikua nakuelekeza kitu gani na wewe ukaanza kuchomekea vitu ambavyo mimi sijaandika ili tu uonekane uko sahihi.

Hiyo ishu ya bulb si ndio hadi ukaitolea mfano namkuta mke wangu na fundi wametoka chumbani au hii in real life ikoje ndgu yangu?? Au kwenye life in general ni kua Me akishindwa kufanya kitu Ke anaita Me mwenzie aje afunge???
Unaona unavyoparanganya mambo hapa.

Kama unaweza kufanya fanya, tatizo wengi wenu mnafanya ili kushindana. Hii ndo shida sasa.
Na Me akiwa akili kisoda lazima mtibuane tu.
 
Issue ya bulb ulikua unaipinga hadi ukaingiza maswala ya baba yako kuwa mkulima. ndo maana nikakupa mfano halisia.

Mwishoni umerudi tena kujustify kwanini tulikua tunabishana alafu saizi unaruka ruka🤣
Hapo uliposema wanafanya kushindana ndo kilichotuleta kwenye huu mlolongo hadi saizi🤣

Kazi ipo
 
Mfano halisia wa mke kua na fundi chumbani, mkuu serious kabisa huu ni mfano halisia??
Mifano halisia ni ile ya ukulima wa babu yangu ambayo hujataka kuielewa.

..Nope mlolongo wangu na wewe haukua kuhusu hilo nilioliweka hapo mwisho labda u msahaulifu.

Hilo nimeliweka baada ya wewe kisummarize uzi wako kwenye ile comment #69.
 
Kwahiyo mada yangu summary yake ni hiyo? Basi huna ulichoelewa kwenye hii mada.

Ule wa mfano wa kuhusu mwanaume kukosa kazi na kuwa frustrated hadi mwanamke ana step up hujauona?

Kuhusu point ya kwanza, kama wewe unarudi nyumbani usiku na huwezi kuweka bulb kwani fundi ana takiwa akusubiri urudi usiku ndo aingie? Anaingia mchana anafunga na mkeo hawezi kumwacha fundi aingie chumbani kwenu peke yake lazima na yeye awepo. Bwana we bisha unavyoweza lakini mada yangu imeeleweka kabisa huku naona tunaenda mbele tunarudi nyuma.
 
Maana ya summary ni nini ndgu?
Ile ndo summary sasa, ulitaka mpaka ujaze ile mifano, sasa si utakirudia ulichoandika upya mkuu.

Ndio imeeleweka.
 
Habari ya asubuhi.

Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share

Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua sababu?

Unakuta mwanaume yupo ndani na mkewe,
Bulb imeungua usiku mwanaume anasema anampigia fundi kwa simu hapatikani so wanalala giza. Bro hawezi kubadilisha bulb.

Wanatembea na gari inapata pancha mwanaume anashika kichwa hajui anafanyaje anamtafuta fundi abduli wa magari hampati safari inaishia hapo.

Najua mtabisha lakini nawaambia masculine men wapo wachache sana sana sana sana na hiko ndo kinawafanya wanawake wavue gamba la unyonge waanze wao kujaribu kufanya hivyo vitu ili gurudumu liende. Wakishajaribu tayari wanaume wanakasirika wanakwambia mwanamke anataka kushindana na nature,
Mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Nani kakwambia wanataka kuwa kama nyinyi?
Mnafika sehemu unakuta mhuni anamkosea heshima mwanamke mbele ya mwanaume wake, mwanaume anashindwa kustep up kwa ajili ya mwanamke wake, anakaa pembeni anasema ye hapendi shari. Hivi hapo huyo mwanamke atafanyaje kama sio kujivika vazi la umasculine na mara nyingi changamoto zinaanziaga hapo.

Wanawake wanajipambania kwasababu mwanaume waliemkabidhi nafasi ya uongozi anashindwa kukaa kwenye nafasi so mwanamke ana feel hayuko protected,

Kila mmoja ana nafasi yake katika uhalisia lakini mmoja anaposhindwa kuisimamia nafasi yake automatically huyu mwanamke itabidi aanze kujipambania mwenyewe. Sijasema hizo ndo sababu pekee zinazofanya mwanamke aone she has to step up zipo nyingi sana na hii kitu haiibuki tu out of nowhere unakuta ni kitu kimejijenga.

Ngoja niwape mfano, mtoto wa kiume analelewa zile familia za ‘daddy I’m going’ kila kitu anafanyiwa, nguo anafua dada wa kazi hadi akifika chuo, hata nyasi zikiota nyumbani anaitwa kijana wa jirani au houseboy anafanya. Huyu mtu akipata familia yake af ye ndo awe baba lazima utaskia malalamiko na kwa bahati mbaya akikutana na mwanamke wa opposite yake lazima watagombana kwasababu mwanamke anategemea Baba atafanya, baba hafanyi, mwanamke anashika kifaa anajaribu kufanya mwenyewe-tayari anataka kushindana na mwanaume.

Haya unakuta sasa ndo hizi familia zetu za kawaida, kijana amemaliza chuo anategemea kuna kazi za 9-5 atakaa ofisini anajishkiza sehemu kwenye ofisi anatafuta na mke anaoa, bahati mbaya akipoteza ile kazi ndo basi anarudi nyumbani anashinda na playstation ( najua mtabisha lakini hawa watu wapo) wengine wanashinda kwenye simu tu lets say ni kwasababu ya frustration hivi hapo nani atabidi a step up!!
Ili familia iende itabidi yule mwanamke asimame akapambane familia ile na watoto waende shule.

Haya huu ni ukweli ambao wengi hamuutaki, wanaume wengi sasa hivi hawataki wanawake ambao hawana kazi. ‘Utaskia pambana mamie tusaidiane majukumu.’ Seriously. Sasa unakuta wanaume wengine nje wanadhani yule mwanamke ni feminist sijui anataka 50/50 hawajui ndani ya nyumba anaishi na mwanaume wa aina gani. Unakuta mwanaume anasema kabisa mimi nta deal na ada na kodi ya nyumba wewe deal na kulisha familia, mifano hai ipo kabisa. Hawa wanawake ndo mnaokutana nao humo makazini hawana furaha maana nyumbani hakuna furaha, mume hana muda nae wote wana stress za kazini, inabidi a meet end needs za kuprovide part yake. Two bulls in the house🤦🏾‍♀️

My call is for some men to step up.
Protect your ladies, stand up for your families, let your woman know that she has a man inside. Hata kama hujui kutengeneza gari amka asubuhi fungua bonnet shika shika hata betri pale gonga gonga hata kachuma kamoja, shika hata wheel spana kaza tairi yani kuwa busy uone mwanamke anavyo feel.

Wanaume nilikua nasubiri sana zitokee mada za kusema ukweli wa kwanini hali sasa imebadilika naona mnatupia lawama kwenye end result tu hamsemi chimbuko la tatizo. Baadhi yenu mmekulia kwenye maisha tofauti sana so kila mtu ananamna yake ya kuendesha majukumu ya familia yake. Yaani mwanamke anaona bila kupambana hapa watoto wangu hawatasoma. Mwanaume kila akija anasema hajalipwa mshahara of which kwa wengine huwa ni kweli kwa wengine ni njia ya kukwepa majukumu. Nini kitatokea?

I call out for peace humu. Sitegemei heka heka zozote wala nadharia za hawa watoto wa kizazi hiki. Kama huna any positive comment kindly pita tu.

Kwa wanaume ambao wana project masculine energy kudos to you. Hamjui tu ni kiasi gani mwanamke anashuka na kuuvaa ukike mnapo step up. Having a person you can rely on ni nzuri kwa afya zetu🤝

View attachment 3007949
Umeongea kwa miemko sana mambo kama kubadilisha tairi hayo yanahitaji ujuzi. Kuwa mwanaume sio kigezo cha kusema unatakiwa kujua kila kitu. By the way, where are those women who deserve man's efforts, time and money? wanawake wenyewe unaowaongelea ndio hawa hawa wanaotuambia "tafuta hela"? Tusidanganyane hapa kanuni ya mapenzi kwa sasa mwanaume anataka sehemu ya kumaliza nyege zake na mwanamke anataka hela. Siwezi nikamaliza nguvu zangu ili mwanamke anione shujaa wakati najua shida yake ni hela tu.
 
Kumekucha🤣
Aah we utabishana mwenyewe mi nimeshamaliza.

Ndo mnajiita Gen Z? Hii mada subiri ufikishe 30 ndo utaidadavua. Usiku mwema
 
Miaka 30 nishafika kijana. Endelea kuwa simp kwa wanawake uonekane shujaa siku yaja utapata unachokitafuta.
 
Nini maana ya kuwa na mwenza? Still kumbe wewe ni walewale tu, unajificha kwenye mbuyu, bills si swala la mwanaume peke yake. Kingine wanawake wengi hawapendi kuwa responsible simply because wanaingia kwenye ndoa wakiwa na mentality ya everything kipo responsible kwa mwanaume. Ingawa umeleta mada muhimu ila na wewe ni walewale tu.
Kila mwanamke anajiuza wanatofautiana mbinu tu.
 
Back
Top Bottom