Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kubali tu dada angu hapo kwenye kipengere cha kulipa bill za nyumbani bado mpo confused, simamisheni kwanza movements then za ufeminia mkubaliane kwenye hicho kipengere.Katika majuha mliojaa humu jf wewe ni kiongozi! Sibishani na wapumbavu na hamuwezi kunibadilisha msimamo nlionao juu ya nnavyoishi na mwanaume. A man is a provider hiyo ya kwako sijui natafuta privilege ipigie mstari. Siwezi kukaa na mwanaume ndani nihudumie familia na ye yupo anajiita mwanaume ntakuchosha akili tu. And yes, mwanamke anaekubali ndoa za mitala na bado anakaa tu nyumbani ni msukule. Kabishane na ukuta. Juha pro max 🚮
Mnataka mwanaume awe provider? basi tokeni uko maofisini muwe mama wa nyumbani au mnataka 50/50? basi bill za nyumbani zilipwe na wote.