Huwez kubadilisha wewe komaa tu huko huko mbona siku zimeisha mzee wa manzeseBajeti yangu ya kuishi huku nilipo inaenda ukingoni
Na huku ndio nilipo ombea au wanaruhusu ukichaguliwa sehemu flani unaweza badilisha ?
Vumilia mkuu bado kidogo tuBajeti yangu ya kuishi huku nilipo inaenda ukingoni
Na huku ndio nilipo ombea au wanaruhusu ukichaguliwa sehemu flani unaweza badilisha ?
Hilo la watendaji lipo wazi ila released date ndo bado kizungumkuti maana nilicgukuwa likozo ila niliambiwa niwai rudi before 15 ila nikajua tu italuwa ni Mambo ya sensaRasimi.
Usaili utaanza tarehe 18/07/2022. Watenda wote watapita moja kwa moja
Sasa Kuna watakwimu wangapi kwenye wilaya!??? Ni Mmoja au wawili..atasimamieaje zoezi la wilaya nzima!!??Binafsi naamini usaili utasimamiwa na watu wanaojua mbo ya takwimu hivyo watendaji watakuwa hawana mamlaka yoyote katika kuwachagua watu. Ila kama NBS wataamua kuwaachia mamlaka watendaji wa kata basi watakiwa wanacheza mchezo hatri sana kwa zoezi muhimu kama la sensa.
Wacha tuone.
huwezi pata kituBajeti yangu ya kuishi huku nilipo inaenda ukingoni
Na huku ndio nilipo ombea au wanaruhusu ukichaguliwa sehemu flani unaweza badilisha ?
Chanzo cha taarifa wapi?Rasimi.
Usaili utaanza tarehe 18/07/2022. Watenda wote watapita moja kwa moja
[emoji850]Mkeka tayari
Wataalamu kutoka chuo cha takwimu na maofficers wengine watakaoteuliwa.Sasa Kuna watakwimu wangapi kwenye wilaya!??? Ni Mmoja au wawili..atasimamieaje zoezi la wilaya nzima!!??
Kwa rafiki yangu mtendaji wa huku kwetuChanzo cha taarifa wapi?
Nimelalia hapa[emoji23][emoji850]
Mmh majina hapa utashangaa mwezi wa saba mwishoniHuwez kubadilisha wewe komaa tu huko huko mbona siku zimeisha mzee wa manzese.
Ngoja tuoneVumilia mkuu bado kidogo tu
Bet lostZa ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.
4/7: Usaili kwa waombaji
11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili
18/7: Kuanza kwa semina.
16/8: Mwisho wa semina.
17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.
22/8: Kukusanya vifaa vya kazi
23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]Hata kama usaili ungefanyika kata bado walikuwa hawana mandate ya kuamua yupi achagukiwe au yupi asichaguliwe, Usaili ungesimamiwa na watu wa takwimu yeye angekuwepo kwenye panel kama mwenyeji wao tu.
Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.Wataalamu kutoka chuo cha takwimu na maofficers wengine watakaoteuliwa.
Yaan wewe ndo zezeta, NBS wamesema wapi kwamba wamerasimisha zoezi la usaili kwa watendaji? Au ndo kujiongeza kwa ujinga?We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]