Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Binafsi naamini usaili utasimamiwa na watu wanaojua mbo ya takwimu hivyo watendaji watakuwa hawana mamlaka yoyote katika kuwachagua watu. Ila kama NBS wataamua kuwaachia mamlaka watendaji wa kata basi watakiwa wanacheza mchezo hatri sana kwa zoezi muhimu kama la sensa.

Wacha tuone.
 
Rasimi.

Usaili utaanza tarehe 18/07/2022. Watenda wote watapita moja kwa moja
Hilo la watendaji lipo wazi ila released date ndo bado kizungumkuti maana nilicgukuwa likozo ila niliambiwa niwai rudi before 15 ila nikajua tu italuwa ni Mambo ya sensa
 
Binafsi naamini usaili utasimamiwa na watu wanaojua mbo ya takwimu hivyo watendaji watakuwa hawana mamlaka yoyote katika kuwachagua watu. Ila kama NBS wataamua kuwaachia mamlaka watendaji wa kata basi watakiwa wanacheza mchezo hatri sana kwa zoezi muhimu kama la sensa.

Wacha tuone.
Sasa Kuna watakwimu wangapi kwenye wilaya!??? Ni Mmoja au wawili..atasimamieaje zoezi la wilaya nzima!!??
 
Za ndaaani kabisa,
27/6 - 1/7: Kutangazwa kwa majina kwa ajili ya kufanya usaili.

4/7: Usaili kwa waombaji

11/7 - 15/7: Kutangazwa kwa majina yalipita kwenye usaili

18/7: Kuanza kwa semina.

16/8: Mwisho wa semina.

17/8 - 19/8: Vikao vya mwisho.

22/8: Kukusanya vifaa vya kazi

23/8: Kuanza kwa zoezi la sensa.
Bet lost
 
Hata kama usaili ungefanyika kata bado walikuwa hawana mandate ya kuamua yupi achagukiwe au yupi asichaguliwe, Usaili ungesimamiwa na watu wa takwimu yeye angekuwepo kwenye panel kama mwenyeji wao tu.
We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
 
Wataalamu kutoka chuo cha takwimu na maofficers wengine watakaoteuliwa.
Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.

wataalamu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya kata tz nzima. Huku kwetu halmashauri ina kata 37. Na pale halmashaur kuna watakwimu 2 hata wakichukua hao wa chuo cha takwimu bado kwa tz nzima idadi yao itakuwa ndogo tu.

Weo bado ndio maboss kwenye hii ishu ya usaili.
 
We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
Yaan wewe ndo zezeta, NBS wamesema wapi kwamba wamerasimisha zoezi la usaili kwa watendaji? Au ndo kujiongeza kwa ujinga?

Taarifa sahihi zilizotolewa na NBS ni kwamba watatumia wataalam kutoka chuo cha takwimu na baadhi ya maofficers watakaoteuliwa.

Au unapiga ramli??
 
Back
Top Bottom