Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

kua na elimu kiongoz akukupelekei kua upo sahihi kwa kila jambo wenye elimu wengi wanazalau sana tena sana
Sio kua ni kuwa. Sio Zalau ni Dharau kumbe hata kiswahili kinakushinda halafu unataka ukarani wa Sensa. Utaweza kuhoji maswali kwa usahihi kweli?
 
hakuna sehem ya chama ila chama kitajitokeza at the end baada ya majina kutoka waangalie wafia chama wa mtaani kwenu utawaona au vp
Kwa hiyo NBS na CCM yupi mwenye hii kazi ya Sensa, kama ninyi ndio watanzania tulio nao ktk hii Nchi basi tutachelewa sana.
 
Sio kua ni kuwa. Sio Zalau ni Dharau kumbe hata kiswahili kinakushinda halafu unataka ukarani wa Sensa. Utaweza kuhoji maswali kwa usahihi kweli?
hahahaha sawa unaonekana umesoma sana ongera elimu yako unaitumia vizur
 
sasa braza elimu unayo nn kinakuangaisha katka sensa ukosoaji unaoufanya ungekua ndo ajira ungekua bize sahv
Kwani huu ni muda wa kazi? Muda wa kazi umeshsisha, ukizingatia leo ni Jumapili sio siku ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…