mbororo
Senior Member
- Jul 6, 2022
- 103
- 88
kua na elimu kiongoz akukupelekei kua upo sahihi kwa kila jambo wenye elimu wengi wanazalau sana tena sanaElimu, Elimu, Elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kua na elimu kiongoz akukupelekei kua upo sahihi kwa kila jambo wenye elimu wengi wanazalau sana tena sanaElimu, Elimu, Elimu.
hakuna sehem ya chama ila chama kitajitokeza at the end baada ya majina kutoka waangalie wafia chama wa mtaani kwenu utawaona au vpComrade hivi kulikuwa na sehemu ya kuambatanisha kadi ya CCM?
Hivi wewe ni CCM? Au hili zoezi umeambiwa ni la CCM?kaz inatakiwa ifanyike kwa uwered auwez kumchukua mtu ambae ayupo katka itikadi yako lazma atafanya kwa matakwa yake sensa ya mwaka huu ni kubwa sanaa
Sio kua ni kuwa. Sio Zalau ni Dharau kumbe hata kiswahili kinakushinda halafu unataka ukarani wa Sensa. Utaweza kuhoji maswali kwa usahihi kweli?kua na elimu kiongoz akukupelekei kua upo sahihi kwa kila jambo wenye elimu wengi wanazalau sana tena sana
Kwa hiyo vijana wa CCM ndiyo pekee wana huo 'uwered'?kaz inatakiwa ifanyike kwa uwered auwez kumchukua mtu ambae ayupo katka itikadi yako lazma atafanya kwa matakwa yake sensa ya mwaka huu ni kubwa sanaa
Kwa hiyo NBS na CCM yupi mwenye hii kazi ya Sensa, kama ninyi ndio watanzania tulio nao ktk hii Nchi basi tutachelewa sana.hakuna sehem ya chama ila chama kitajitokeza at the end baada ya majina kutoka waangalie wafia chama wa mtaani kwenu utawaona au vp
Mengine yakupite siyo kila kitu una quote. Àu ndiyo ujobless[emoji28][emoji28]Kwa hiyo NBS na CCM yupi mwenye hii kazi ya Sensa, kama ninyi ndio watanzania tulio nao ktk hii Nchi basi tutachelewa sana.
Nadhan kubadilisha haipoBajeti yangu ya kuishi huku nilipo inaenda ukingoni
Na huku ndio nilipo ombea au wanaruhusu ukichaguliwa sehemu flani unaweza badilisha ?
Ukweli mchungu naona dawa imewaingia sasa 😂😂😂Mengine yakupite siyo kila kitu una quote. Àu ndiyo ujobless[emoji28][emoji28]
Chuo Cha takwimu kipo wapi mkubwa!!??Wataalamu kutoka chuo cha takwimu na maofficers wengine watakaoteuliwa.
mm mtanzaniaHivi wewe ni CCM? Au hili zoezi umeambiwa ni la CCM?
hahahaha sawa unaonekana umesoma sana ongera elimu yako unaitumia vizurSio kua ni kuwa. Sio Zalau ni Dharau kumbe hata kiswahili kinakushinda halafu unataka ukarani wa Sensa. Utaweza kuhoji maswali kwa usahihi kweli?
hahaha kiongozi kwahyo wootu tuliokoment pamoja na ww ni jobless auMengine yakupite siyo kila kitu una quote. Àu ndiyo ujobless[emoji28][emoji28]
East Africa Statistical Training Centre, Chuo kipo Dar es Salaam.Chuo Cha takwimu kipo wapi mkubwa!!??
Sio Ongera ni Hongera.hahahaha sawa unaonekana umesoma sana ongera elimu yako unaitumia vizur
Kuna kimoja nakifahamu kipo karibu na UDSM Kule changanyikeni.Chuo Cha takwimu kipo wapi mkubwa!!??
Hahahahahahahahaha kiongozi kwahyo wootu tuliokoment pamoja na ww ni jobless au
sasa braza elimu unayo nn kinakuangaisha katka sensa ukosoaji unaoufanya ungekua ndo ajira ungekua bize sahvSio Ongera ni Hongera.
Kwani huu ni muda wa kazi? Muda wa kazi umeshsisha, ukizingatia leo ni Jumapili sio siku ya kazi.sasa braza elimu unayo nn kinakuangaisha katka sensa ukosoaji unaoufanya ungekua ndo ajira ungekua bize sahv