Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Huku kwetu tumeanza na kuvuta pesa kutoka kwa watendaji make tuliomba ni wachache hivyo wrote tunaendraaaaa.

Hatuna wasi tukilipwa tunamrudishia mtendaji
 
Mkuu umewajibu safi sana hawa wanaowadharau watendaji wanasahau kabisa hawa ndo mabosi na wawakilishi wa serikali ngazi ya kata so biga ua huyu mtu lazima awajue watu wake watakaopga kazi kwenye kata na pia anaushawishi akikusimamia lazima ukale hizi pesa za sensa.
 
Jambo usilolijuwa litawasumbua sana, ndivyo mnavyoongopeana huko mitaani?
 
VODACOM SUPAKASI INTERNET

Package

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

CALL 0744355811
FOR MORE INFO
 
Ukweli mchungu naona dawa imewaingia sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kvip labda me Nimeona unajaza meseji nyingi kwenye uzi peke ako..kama kuna pumba uliziandika sijapata muda wa kuzisoma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio Ongera ni Hongera.
Punguza ujuaji utapakatw@ alafu wewe wakiume tabia za kusuta watu ni za kike ,linda m@rind@ yak0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna vijana wameanza ku ripot muda huu apa Nbs, ni wadogo wadogo... Nafatilia nijue wamefata nini na wanazidi kumiminika... Wameandaliwa ukumbi wa ngorongoro apa Nbs
Hao nadhani ndo wamekuja na watapewa access ya mfumo ili kuchuja majina, nakumbuka kwa taarifa zenu za awali ilikuwa ni kwamba mngetumia watendaji kwamba mngewaita, mngewatrain na kuwapa access ya mfumo ili wachuje majina.
 
Ndugu zangu, hawa vijana wametoka chuo Cha DIT dar, wamekuja kwa kazi ya kuwasha tablet zote na kuziwekea ulinzi pamoja na software wezeshi...

Kwahyo muondoe hofu[emoji1787]
Huwa nakuelewa Sana haujawahi kutuangusha Kwa taarifa za ukweli na uhakika especially swala Hili nyeti linalotjumiza vichwa ubarkiwe sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…