Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Boss, ukimfata mdhamini then akakuambia hana Email, huyo achana nae hayuko serious na hana uwezo wa kukusaidia kwa lolote lile

Yeyote ila sio ndugu/marafiki

Kwa kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngapi.?
Kwan ukiweka ndugu utatolewa ..??? na wapi wamesema mdhamini haruhusiwi kuwa ndugu ama rafiki...???
 
Aisee nimetumiwa password, nimelogin kucheki taarifa zangu. Nikakuta ziko fresh. Nikaipakuwa na form no1. Nilipo logout, kulogin kuiupload form no1 iliyosainiwa MZIGO UMEGOMA. NINI SHIDA HAPA ??
 
Ukiona mchakato unafanywa na kata basi mambo yashakuwa magumu hapo ni vimemo tu na nahakika kuna hawatojisumbua kuomba by utawakuta kwenye semina
Si kweli maana hawapo kwenye system ila watakachofanya ni kuomba afu wakatulia ili hali wanajua kwenye kata Wana watu wao wanaweza wakapitishwa.
 
Umesoma vigezo vyote kwa umakini???. Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umesoma vigezo vyote kwa umakini???. Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Mimi huku niliko nabaki nazo kwaajili ya kumbukumbu na rejea ikiwa itatokea shida!!
 
Shida nini jamani, nataka ni edit taarifa zangu mzigo unagoma, Unaload mpaka nagaili. Shida ni mtandao au ndo basi tena, kama uliweka elimu ni chuo kikuu kumbe form 4 ndo imekula kwako??
 
So
Shida nini jamani, nataka ni edit taarifa zangu mzigo unagoma, Unaload mpaka nagaili. Shida ni mtandao au ndo basi tena, kama uliweka elimu ni chuo kikuu kumbe form 4 ndo imekula kwako?? So mkuu umeweka Elimu ya degree? Alafu wewe Ni form four?
 
Hili tatizo la namba ya form four imeshatumiaka suluhishi ni nini?
 
Kwan ukiweka ndugu utatolewa ..??? na wapi wamesema mdhamini haruhusiwi kuwa ndugu ama rafiki...???
Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
 
Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Acha tu ndug ,nilitoa ushaur ya jinsi ya kuweka wadhamin hapa,mtu akadiriki kuniita mjinga,ilihali hanifaham.Na kuniambia naleta uchama ..kisa nimesema waweke wadhamin wanaotokea mtaa au kata yake,anaweza kuwa mjumbe,mwkit ,mtendaji,diwani,hawa comrades wa chama kama anawafaham,wakuu wa shule,n.k.
Mtu anasema naleta u kada.[emoji3][emoji2]
 
Kwahyo sis tusiokuwa na NIDA ndo tushafeli kwenye hiz kazi?
 
Mimi nimemuweka Mzee wangu.. kama mbwai na iwe mbwai tu kwani sh ngapi..!!
Kama ni bora liende unaweka yeyote hata demu wako.
Acha tu ndug ,nilitoa ushaur ya jinsi ya kuweka wadhamin hapa,mtu akadiriki kuniita mjinga,ilihali hanifaham.Na kuniambia naleta uchama ..kisa nimesema waweke wadhamin wanaotokea mtaa au kata yake,anaweza kuwa mjumbe,mwkit ,mtendaji,diwani,hawa comrades wa chama kama anawafaham,wakuu wa shule,n.k.
Mtu anasema naleta u kada.[emoji3][emoji2]
Yn kuna watu hawajui kitu na wanaelimishwa ila wanajitia uwendawazimu, watu kama hao unawaacha tuu.
 
Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Napata error
  • Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
 
Usitupangie maisha, kwani umesikia tukikosa hizo Ajira ndo tutalala njaa..!! Nyie waelewa ombeni vizuri basi mupate na lazima mutajirike mwaka huu kwa hizo pesa za Sensa.
Kama ni bora liende unaweka yeyote hata demu wako.

Yn kuna watu hawajui kitu na wanaelimishwa ila wanajitia uwendawazimu, watu kama hao unawaacha tuu.
 
Napata error
  • Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
Hiyo ya mwisho ni mwaka wa kuhitimu kidato cha nne, kwahiyo fata mashariti yao kama mnataka kazi. Msiwapangie. Mf s11111-11111-2022
 
Back
Top Bottom