Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sawa mamaaUsitupangie maisha, kwani umesikia tukikosa hizo Ajira ndo tutalala njaa..!! Nyie waelewa ombeni vizuri basi mupate na lazima mutajirike mwaka huu kwa hizo pesa za Sensa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mamaaUsitupangie maisha, kwani umesikia tukikosa hizo Ajira ndo tutalala njaa..!! Nyie waelewa ombeni vizuri basi mupate na lazima mutajirike mwaka huu kwa hizo pesa za Sensa.
Mkuu sijajua ebu muulize labda Shombe la Kisomali Kama yupo na jibuWe acha tuu, nimweka chuo... Nataka niwa zuge wanipe. Kuna mtu kanishauri nitoe sasa haitoleki... Kuna anayefaham njia mbadala??
Kiufupi vijijini wasomi hamna so walimu ndo wanakula Shavu. Trust me.MIE NAWAZA TUU WENGI WANAO APPLY WAPO MIJINI , HUKO RURAL AREAS THERE LITTLE MORE ASEEEE SEMA KWENYW MCHUJO KI-KATA NDO SHIDA WATU WANA FEKELEWA MBALI MIJINI THENI. VIJIJINI HUKO ITAKUWA MZIGO MAANA UNAWEZA KUTA. KARANI MMOJA ANAZUNGUKA KATA 2 ASEEEEEEEE....#MJINI_KUKIJAA_WAPELEKENI_VIJIJINI_TAMISEMI ILI KUKAMILISHA MCHAKATO , NA SIO KUTUFYEKELEAAAA JAMANIII
Mkuu we Omba Kama nilivyoomba mm, yaan nikipata nikikosa poa tu Niko na Mishe zangu za kufanya kibao tu Huku, sikai nikawaza na hv viajira vyao uchwaraMm siombi tuone itakuaje? Maana mnaleta siasa upuuzi Mtupu
Jarbu kuangalia kule kwenye spam unaweza ikutaMbona mimi hawaniletei sms ya username na password toka asubuhi nasubr,nataka niedit taarfa nashindwa damn!
Acha propaganda Mkuu,! Iringa ya wapi hiyo? Mimi nipo Iringa na hakuna kitu kama hicho, Watu ndiyo wanafanya application kama ilivyo Mikoa mingine.Mkuu unafukiria nineongea kwa kurupuka. Ni 100% watu wapo kwenye semina Iringa. Sio nineongea kwa fantasies zilizokuwepo bali nakwambia nilicho nauhakika nacho. Labda kama hizi semina zinaenda kwa awamu awamu au labda walienda kwa connection wanaanza kwanza semina kisha wanafuatilia wengineo
Inawezekana walionza Semina ni wale wa kuwapa Semina hawa wanaotakiwa kuomba saa hizi.Mimi mwenyew nimesikia Kuna watu tiyari washaanza hizo semina
Sasa sielewi ni kweli au ni maneno ya watu tu
Asante sana nmeikutaJarbu kuangalia kule kwenye spam unaweza ikuta
Poa mkuuAsante sana nmeikuta
Refresh Sehemu ya Email kwanzaNimetuma haya maombi ijumaa usiku, lakini sikuona option ya kupakua wala sijatumiwa email yoyote ili nipate form namba moja.
Nimejaribu kupiga zile namba zilizotolewa juzi, Jana na Leo muda wote naambiwa zinatumika na nyingine hazipatikani.
Nimecheki kwenye spam msgs hakuna, nikaamua niombe Tena kwa kuhisi kuwa maombi nilituma hatakwenda nikaambiwa email imetumika ikimaanisha maombi nlotuma yalienda.
Wadau naomba mnisaidie Nini nifanye.
Nirefresh inbox ya email yangu? Au pale kwenye tangazoRefresh Sehemu ya Email kwanza
Kwny Email mkuuNirefresh inbox ya email yangu? Au pale kwenye tangazo
Ebu angalia inbox kwa kurefresh au spamNime tuma maombi jana sikupewa majibu yoyote ila nime jalibu kutuma asubuhi yaleo na tumiwa ivyo msaada ta fadhal
View attachment 2217676
Akuna kitu yanEbu angalia inbox kwa kurefresh au spam
Nimerefresh kiasi kwamba email ya mwsho inbox kwangu imeingia saa 8.42 asubuhi leoKwny Email mkuu