Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimekamilisha Bado kwao tu
Capture%2B_2022-05-09-15-06-59.jpg
 
Email yangu pamoja na zile za wadhamini wangu naandikiwa invalid, wakati ndo natumia kwasaliana nao, Msaada tafadhali
 
Majina matatu
Email
Namba ya simu
Kitongoji anachoishi
Kata anayoishi
Wilaya anayoishi
Mkoa wake
Alama ya dole gumba
Tarehe.
Naomba kujua wadhamini wanaotakiwa hapo wanatakiwa kuwa na sifa zipi
 
Daah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata form
mkuu nafikiri wewe ulituma maombi yakaenda, sasa hawa jamaa system yao haina mambo ya kukorect yale maombi ya mwanzo angalia ujumbe ule vizuri wanasema email inatumika mara moja tu basi, na wanataka uwe makini sana hakikisha mara mbilimbili, it means huwezi kuomba tena hata kama ukiwa umekosea, wapotezee tu mzee fanya mishe zingine.
 
Daah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata form
Sijui changamoto iko wapi ... msg haiji na hakuna jinsi ya kuanza upya
 
Back
Top Bottom