Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushafanikiwa kudownload?Wakuu mnisaidie form yangu haitaki kujidownload mwenye anaweza anisaidie
Weka herufi ndogo zoteEmail yangu pamoja na zile za wadhamini wangu naandikiwa invalid, wakati ndo natumia kwasaliana nao, Msaada tafadhali
Log in kwenye account yako ya mfumo wa maombi itakuonesha mahali pameandikwa maombi yametumwa kikamilifu.Mbona mfumo hauleti ujumbe Kama umefanikiwa kutuma au la
Naomba kujua wadhamini wanaotakiwa hapo wanatakiwa kuwa na sifa zipi
Ndugu hilo neno kikamilifu mbona silioni au ?Log in kwenye account yako ya mfumo wa maombi itakuonesha mahali pameandikwa maombi yametumwa kikamilifu.
Huwezi, unaonekana c mtanzaniaIv nitaweza kuomba Kama Sina namba ya nida?
Ndivyo navyofanya làkini tatizo liko palepaleWeka herufi ndogo zote
Clear browser yako uanze tenaNdivyo navyofanya làkini tatizo liko palepale
Hapo kiambatanisho kingine ndo unaweka nini!!??Nimekamilisha Bado kwao tuView attachment 2217984
Make sure mwisho wa email hauachi space.Ndivyo navyofanya làkini tatizo liko palepale
Umefanikisha maana mimi bado kipengele kile kilePamoja.
Nimepiga hakuna naempata mkuu.Umefanikisha maana mimi bado kipengele kile kile
Daah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata formNime tuma maombi jana sikupewa majibu yoyote ila nime jalibu kutuma asubuhi yaleo na tumiwa ivyo msaada ta fadhal
View attachment 2217676
Nimepiga hakuna naempata mkuu.
ila nimejaribu kuomba mimi mwenyewe maombi yangu kila kitu kimeenda sawa, mana hayo maombi ya kwanza nilimuombea mtu, nimeomba tu ili kujua tatizo japo sidhani kama nitapata mda kufanya hio kazi.Umefanikisha maana mimi bado kipengele kile kile
mkuu nafikiri wewe ulituma maombi yakaenda, sasa hawa jamaa system yao haina mambo ya kukorect yale maombi ya mwanzo angalia ujumbe ule vizuri wanasema email inatumika mara moja tu basi, na wanataka uwe makini sana hakikisha mara mbilimbili, it means huwezi kuomba tena hata kama ukiwa umekosea, wapotezee tu mzee fanya mishe zingine.Daah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata form
[emoji16][emoji16]M 2.2 hiv
Sijui changamoto iko wapi ... msg haiji na hakuna jinsi ya kuanza upyaDaah mi mwenyewe nina shida hii hii.. Mpaka nimeshachoka kutuma tena.... Mana kila nikituma inaniletea huo ujumbe na nashindwa kupata form