DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimerefresh kiasi kwamba email ya mwsho inbox kwangu imeingia saa 8.42 asubuhi l
Utapata ujumbe mkuu kupitia Email yako uliyoombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerefresh kiasi kwamba email ya mwsho inbox kwangu imeingia saa 8.42 asubuhi l
na mimi nimepata hili tatizo na nawapigia simu siwapatiNime tuma maombi jana sikupewa majibu yoyote ila nime jalibu kutuma asubuhi yaleo na tumiwa ivyo msaada ta fadhal
View attachment 2217676
zile namba za simu ni za mchongo, nami nimepiga kweli baadae ikapatikana ikaita lakini hawapokei mkuu.Na
na mimi nimepata hili tatizo na nawapigia simu siwapati
Ukipata solution niambie ... mana hii kitu inanichanganyazile namba za simu ni za mchongo, nami nimepiga kweli baadae ikapatikana ikaita lakini hawapokei mkuu.
Fungua Gmail yako alafu refreshNimetuma lakin cjaona msg kwenye email yangu tatizo ni nini?
Hivi sensa ya mwaka 2012 , malipo yalikuwa ni kiasi gani , kwa kila posti
Pamoja.Ukipata solution niambie ... mana hii kitu inanichanganya
Mkuu hizi form zipo page 3 vip wakati wa kuzipakia unafanyeje au inakuwa na vinafasi vitatu maana Mimi bado cjafika hukoAisee nimetumiwa password, nimelogin kucheki taarifa zangu. Nikakuta ziko fresh. Nikaipakuwa na form no1. Nilipo logout, kulogin kuiupload form no1 iliyosainiwa MZIGO UMEGOMA. NINI SHIDA HAPA ??
19Hivi mwisho wa maombi ni tar 14 au 19 mwezi huu?,,maana naona tarehe mbili tofauti sijui deadline ya ukweli ni ipi
Ilifanyika kwa siku ngapi?12500
Kuna uwezekano watu wakapangiwa maeneo. Mfano Mimi naishi mtaa wa "Kilosa" lakini naijua mitaa ya kata 4 zinazonizunguka.MIE NAWAZA TUU WENGI WANAO APPLY WAPO MIJINI , HUKO RURAL AREAS THERE LITTLE MORE ASEEEE SEMA KWENYW MCHUJO KI-KATA NDO SHIDA WATU WANA FEKELEWA MBALI MIJINI THENI. VIJIJINI HUKO ITAKUWA MZIGO MAANA UNAWEZA KUTA. KARANI MMOJA ANAZUNGUKA KATA 2 ASEEEEEEEE....#MJINI_KUKIJAA_WAPELEKENI_VIJIJINI_TAMISEMI ILI KUKAMILISHA MCHAKATO , NA SIO KUTUFYEKELEAAAA JAMANIII
Malizia na mwaka aliohitimu hapoNapata error
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
- Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Hili tatizo hata rafk yang limemkuta sjui hata inakuwajeWakuu nilikosea email, nikaandika ambayo iko invalid
Kuna namna naweza fanya nikacorrect hio, mana nimeshindwa pata user name na password.
Nikijaribu kuomba upya system itakubali?
Page 4 nduguMkuu hizi form zipo page 3 vip wakati wa kuzipakia unafanyeje au inakuwa na vinafasi vitatu maana Mimi bado cjafika huko
Mbona kwangu imekuja 3Page 4 ndugu