Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wakuu nilikosea email, nikaandika ambayo iko invalid
Kuna namna naweza fanya nikacorrect hio, mana nimeshindwa pata user name na password.
Nikijaribu kuomba upya system itakubali?
 
Aisee nimetumiwa password, nimelogin kucheki taarifa zangu. Nikakuta ziko fresh. Nikaipakuwa na form no1. Nilipo logout, kulogin kuiupload form no1 iliyosainiwa MZIGO UMEGOMA. NINI SHIDA HAPA ??
Mkuu hizi form zipo page 3 vip wakati wa kuzipakia unafanyeje au inakuwa na vinafasi vitatu maana Mimi bado cjafika huko
 
MIE NAWAZA TUU WENGI WANAO APPLY WAPO MIJINI , HUKO RURAL AREAS THERE LITTLE MORE ASEEEE SEMA KWENYW MCHUJO KI-KATA NDO SHIDA WATU WANA FEKELEWA MBALI MIJINI THENI. VIJIJINI HUKO ITAKUWA MZIGO MAANA UNAWEZA KUTA. KARANI MMOJA ANAZUNGUKA KATA 2 ASEEEEEEEE....#MJINI_KUKIJAA_WAPELEKENI_VIJIJINI_TAMISEMI ILI KUKAMILISHA MCHAKATO , NA SIO KUTUFYEKELEAAAA JAMANIII
Kuna uwezekano watu wakapangiwa maeneo. Mfano Mimi naishi mtaa wa "Kilosa" lakini naijua mitaa ya kata 4 zinazonizunguka.
Watu watajazwa hata sehemu ambazo hawajaomba.
 
Napata error
  • Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
Malizia na mwaka aliohitimu hapo
 
Wakuu nilikosea email, nikaandika ambayo iko invalid
Kuna namna naweza fanya nikacorrect hio, mana nimeshindwa pata user name na password.
Nikijaribu kuomba upya system itakubali?
Hili tatizo hata rafk yang limemkuta sjui hata inakuwaje
 
Wakuu mnisaidie form yangu haitaki kujidownload mwenye anaweza anisaidie
 
Back
Top Bottom