Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

MIE NAWAZA TUU WENGI WANAO APPLY WAPO MIJINI , HUKO RURAL AREAS THERE LITTLE MORE ASEEEE SEMA KWENYW MCHUJO KI-KATA NDO SHIDA WATU WANA FEKELEWA MBALI MIJINI THENI. VIJIJINI HUKO ITAKUWA MZIGO MAANA UNAWEZA KUTA. KARANI MMOJA ANAZUNGUKA KATA 2 ASEEEEEEEE....#MJINI_KUKIJAA_WAPELEKENI_VIJIJINI_TAMISEMI ILI KUKAMILISHA MCHAKATO , NA SIO KUTUFYEKELEAAAA JAMANIII
 
Kiufupi vijijini wasomi hamna so walimu ndo wanakula Shavu. Trust me.
 
Mkuu unafukiria nineongea kwa kurupuka. Ni 100% watu wapo kwenye semina Iringa. Sio nineongea kwa fantasies zilizokuwepo bali nakwambia nilicho nauhakika nacho. Labda kama hizi semina zinaenda kwa awamu awamu au labda walienda kwa connection wanaanza kwanza semina kisha wanafuatilia wengineo
Acha propaganda Mkuu,! Iringa ya wapi hiyo? Mimi nipo Iringa na hakuna kitu kama hicho, Watu ndiyo wanafanya application kama ilivyo Mikoa mingine.
 
Mimi mwenyew nimesikia Kuna watu tiyari washaanza hizo semina
Sasa sielewi ni kweli au ni maneno ya watu tu
Inawezekana walionza Semina ni wale wa kuwapa Semina hawa wanaotakiwa kuomba saa hizi.
 
Nimetuma haya maombi ijumaa usiku, lakini sikuona option ya kupakua wala sijatumiwa email yoyote ili nipate form namba moja.
Nimejaribu kupiga zile namba zilizotolewa juzi, Jana na Leo muda wote naambiwa zinatumika na nyingine hazipatikani.
Nimecheki kwenye spam msgs hakuna, nikaamua niombe Tena kwa kuhisi kuwa maombi nilituma hatakwenda nikaambiwa email imetumika ikimaanisha maombi nlotuma yalienda.
Wadau naomba mnisaidie Nini nifanye.
 
Refresh Sehemu ya Email kwanza
 
Nime tuma maombi jana sikupewa majibu yoyote ila nime jalibu kutuma asubuhi yaleo na tumiwa ivyo msaada ta fadhal

IMG_20220509_090600.jpg
 
Back
Top Bottom