mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Kwan ukiweka ndugu utatolewa ..??? na wapi wamesema mdhamini haruhusiwi kuwa ndugu ama rafiki...???Boss, ukimfata mdhamini then akakuambia hana Email, huyo achana nae hayuko serious na hana uwezo wa kukusaidia kwa lolote lile
Yeyote ila sio ndugu/marafiki
Kwa kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngapi.?
Si kweli maana hawapo kwenye system ila watakachofanya ni kuomba afu wakatulia ili hali wanajua kwenye kata Wana watu wao wanaweza wakapitishwa.Ukiona mchakato unafanywa na kata basi mambo yashakuwa magumu hapo ni vimemo tu na nahakika kuna hawatojisumbua kuomba by utawakuta kwenye semina
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umesoma vigezo vyote kwa umakini???. Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umesoma vigezo vyote kwa umakini???. Soma TANGAZO rudia mara nne mpaka mara tano ikiwezekana uwe na peni na karatasi unachukua important notes baada ya kuelewa vizuri vuta pumzi muombe mungu andaa nyaraka zako vizuri na wadhamini hakiki taarifa zako Soma TANGAZO tena mara ya mwisho pumzika baada ya masaa kaza Anza applications. Acha pupa
Mimi huku niliko nabaki nazo kwaajili ya kumbukumbu na rejea ikiwa itatokea shida!!Jamani vipi huko kwenu watendaji wanabaki na copy ya form maana huyu wangu ananiambia hajapewa maelezo hayo??
Shida nini jamani, nataka ni edit taarifa zangu mzigo unagoma, Unaload mpaka nagaili. Shida ni mtandao au ndo basi tena, kama uliweka elimu ni chuo kikuu kumbe form 4 ndo imekula kwako?? So mkuu umeweka Elimu ya degree? Alafu wewe Ni form four?
Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.Kwan ukiweka ndugu utatolewa ..??? na wapi wamesema mdhamini haruhusiwi kuwa ndugu ama rafiki...???
Mimi nimemuweka Mzee wangu.. kama mbwai na iwe mbwai tu kwani sh ngapi..!!Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Acha tu ndug ,nilitoa ushaur ya jinsi ya kuweka wadhamin hapa,mtu akadiriki kuniita mjinga,ilihali hanifaham.Na kuniambia naleta uchama ..kisa nimesema waweke wadhamin wanaotokea mtaa au kata yake,anaweza kuwa mjumbe,mwkit ,mtendaji,diwani,hawa comrades wa chama kama anawafaham,wakuu wa shule,n.k.Bro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Kama ni bora liende unaweka yeyote hata demu wako.Mimi nimemuweka Mzee wangu.. kama mbwai na iwe mbwai tu kwani sh ngapi..!!
Yn kuna watu hawajui kitu na wanaelimishwa ila wanajitia uwendawazimu, watu kama hao unawaacha tuu.Acha tu ndug ,nilitoa ushaur ya jinsi ya kuweka wadhamin hapa,mtu akadiriki kuniita mjinga,ilihali hanifaham.Na kuniambia naleta uchama ..kisa nimesema waweke wadhamin wanaotokea mtaa au kata yake,anaweza kuwa mjumbe,mwkit ,mtendaji,diwani,hawa comrades wa chama kama anawafaham,wakuu wa shule,n.k.
Mtu anasema naleta u kada.[emoji3][emoji2]
Napata errorBro, acha kukaza hilo chuma hapo juu ya shingo.
Rafiki/ndugu hawezi kuwa mdhamini wako.
Kama ni bora liende unaweka yeyote hata demu wako.
Yn kuna watu hawajui kitu na wanaelimishwa ila wanajitia uwendawazimu, watu kama hao unawaacha tuu.
Hiyo ya mwisho ni mwaka wa kuhitimu kidato cha nne, kwahiyo fata mashariti yao kama mnataka kazi. Msiwapangie. Mf s11111-11111-2022Napata error
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
- Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
We acha tuu, nimweka chuo... Nataka niwa zuge wanipe. Kuna mtu kanishauri nitoe sasa haitoleki... Kuna anayefaham njia mbadala??