Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Acha fix mkuu, yaani kuku ameshalalia siku 19 then unasema ndani ya saa 72 vifaranga vinatotolewa halafu unatak tukuite mtabiri? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaelekea wewe ni mgeni kwenye uzi huu...ramli zilikuwa nyingi sana.πŸ˜†πŸ˜† the most recent jana mtu alisema majina yatatoka tarhe 28 mwezi huu!!
Hivyo nipe credit zangu mkuu🀣🀣🀣
 
Nilitoa hii ramli naona imetiki...cna Cha kuongezea..!! Hongera kwa waliopata na poleni mliokosa na ambao bdo kuona jina lako...may GOD be with you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…