Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Just In:

Mchujo wa majina kwa level ya Kata kwa Arumeru, Arusha unafanyika leo na watendaji wa kata wamewaomba wakuu wa shule wawatumie majina ya walimu wa shule zao walioomba Sensa.

Hapa jobless tushapigwa goli la mkono
Na walimu ndio wanaochuja watu😄
 
Mkeka wetu una makarani 177. Wanatakiwa 59 tu. Kazi kweli.Na hapo nimechungulia mtendaji yupo kwenye group la postcode .huenda wakachukuana kwa kigezo cha experience ya postcode.nchi hiiiiiii kujuana juana hakuwezi kuisha..!
hatari sanaaaa mkuu
 
Hii nchi ni ya hovyo sana,Nafasi ya msimamizi wa maudhui tayari ina wenyewe ambao ni walimu wakuu watakao fanyia watu usahili kwahiyo wasimamizi wa maudhui hatuna chetu tena [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…