jamesmisana
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 120
- 159
mimi naona ni bora wapewe jobless wa elimu ya juu kuanzia diploma na kuendelea wapate mitaji hasa upande wa makarani.sasa wengine wakikosa hizi nafasi watapata hasiraa na itawafanya watu wajifungie ndani wasihesabiwe kabsaa maana inaumaa sanaaa kukosa mitaji ya biashara.
Kila mdau unakuja na tangazo lako la Moshi kwani inaelekea presha iko juu sana 😆😆Mwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
Unaweza ukaliona jina ila wakakukata kwenye usahili na hii Kitaalamu inachoma sana .Wewe hujaona jina lako tulia utahesabiwa
Kuna halmashauri kila kata inabandika majina kivyake ,,,fanya hivi tafuta mtu aliyeko huku ulikoombea akuchekieMwenye pdf ta majina ya makarani. Halmashauri za moshi vijijini , na moshi manispaa aweke hapa please
Kujibizana na watoto sipendeleiWewe hujaona jina lako tulia utahesabiwa
Hamna mkuu, ukikosa unaendelea na maisha mbonasasa wengine wakikosa hizi nafasi watapata hasiraa na itawafanya watu wajifungie ndani wasihesabiwe kabsaa maana inaumaa sanaaa kukosa mitaji ya biashara.
Majobless wa form four vp?mimi naona ni bora wapewe jobless wa elimu ya juu kuanzia diploma na kuendelea wapate mitaji hasa upande wa makarani.
Hata mm niliomba usimamizi wa maudhui na ni graduate. Vyovyote itakavyo amuliwa sawa tyu.Hii nchi ni ya hovyo sana,Nafasi ya msimamizi wa maudhui tayari ina wenyewe ambao ni walimu wakuu watakao fanyia watu usahili kwahiyo wasimamizi wa maudhui hatuna chetu tena [emoji22]
Naomba source au hints unayoijua ndugu namm nijifunzedaaah kama ni hivyo jina langu likitoka basi nimepita maana nimesoma mambo yotee kuhusu sensa,maana ya sensa ,umuhimu wa sensa ,sensa kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka gani na idadi ilikua ngapi,na kamisaa wa sensa mwaka huo alikua nani,na kuna changamoto gani katika kuhesabu watu,kuna tofauti gani kati ya sensa zilizopita na hii?? n.k