Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hii nchi ni ya hovyo sana,Nafasi ya msimamizi wa maudhui tayari ina wenyewe ambao ni walimu wakuu watakao fanyia watu usahili kwahiyo wasimamizi wa maudhui hatuna chetu tena [emoji22]
Hata mm niliomba usimamizi wa maudhui na ni graduate. Vyovyote itakavyo amuliwa sawa tyu.

Sema ngoja nifanye my own reseach kama ndo hivyo nisiende.
 
daaah kama ni hivyo jina langu likitoka basi nimepita maana nimesoma mambo yotee kuhusu sensa,maana ya sensa ,umuhimu wa sensa ,sensa kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka gani na idadi ilikua ngapi,na kamisaa wa sensa mwaka huo alikua nani,na kuna changamoto gani katika kuhesabu watu,kuna tofauti gani kati ya sensa zilizopita na hii?? n.k
Naomba source au hints unayoijua ndugu namm nijifunze
 
Sikuwahi kuwaza nguvu kubwa iliyotumika kuifanya sensa ya mwaka huu kuhama kutoka analogia mpaka digitali leo mtu anapata ugumu kujua kama kachaguliwa au laah na kibaya zaidi tumerudi kwenye uanalogia wa kuweka majina kwenye mbao . Hii ni ishara tosha bado tuna safari ndefu Sana Kama taifa
 
wapiganji wenzangu naomba mnipigie Kura kwa nyuzi zangu hizi kwenye jukwaa la stories of change

Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?
na hii

Vijana "Uchawa" ni Uchafu na Umasikini unasahaulisha ajenda zetu
 
Back
Top Bottom