Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Oya wazee Freebasic leo vipi mbona inazingua naona leo mida ya jioni mpaka sasa inanizingua au halotel nao wamejitoa ?
 
Kwanini NBS wasiweke majina kwenye tovuti yao badala yakuanza kuangalia kwenye noticeboard za kata huko, mbona wanaleta uhuni kiasi hiki jamani, maana Kuna wengine watakosa usaili kwakutokupata taarifa mapema Kama majina kwenye wilaya yake yametoka. Yani kuapply watu wameapply electronically halafu majina wana release kwenye makaratasi. Nchi la kibwege sana hili kama hawatutaki siwaseme tu kuliko kuwekeana mitego yakipumbavu mtu uzubae wakupige chenga waweke mwingine, huu ni ulofa
 
Nikimkumbuka JPM huwa nakaa napiga magoti kumuombea pumziko la amani maana kazi aliifanya.

Yaani nashindwa kuelewa kabisa watu wametumia bando zao kuomba ajira lakini mwisho tunarudi kwenye mbao za matangazo.

Mbaya zaidi usaili unafanywa na walimu na walimu nao wameomba subiri tuone lakini mambo haya yanastaajabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…